President..!!

huyu baba ananichoshaga akili jamani! sijui lini atatoka madarakani. kila akienda safari lazma nyumbani patokee majanga. sijawahi kuona mwaka uko mbali kama 2015. siku haziendi kabisa ili tumwondoe huyu jamaa.
angekuwepo mngesema kahusika, hapo yuko na Mawaziri wa ardhi na Michezo ngebe
unaacha kulizia Babu yako huko Ujerumani anakula maraha ya Bukoba?

huyu baba ananichoshaga akili jamani! sijui lini atatoka madarakani. kila akienda safari lazma nyumbani patokee majanga. sijawahi kuona mwaka uko mbali kama 2015. siku haziendi kabisa ili tumwondoe huyu jamaa.

Na kibaya zaidi sasa safari hii hata Bw.Slaa naye yupo safarini, hawa Watu sijui wanatutoa kafara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…