President Samia’s math ain’t mathing 🤔

Ukweli mchungu n kua mkataba huo ni kandamizi sijui Samia aliwaza nini? Sasa anaanza kutumia nguvu kubwa
 
Jiwe =shetani
 
Rais Mzanzibar
Waziri Mzanzibar
Katibu Mzanzibar
Wanauza Bandari za Tanganyika Bandari za Zanzibar halihusiki.

Wabaguzi hapa ni waliosema au waliotenda !.
 
Kwa hiyo wamekupiga virungu vingapi kwasababu hujasupport vita vya Ukraine?
 
Hoja zao zimejibiwa lkn wamegoma kuelewa, hatuwezi kukubali wahuni wachache watuharibie nchi, nasema hivi watandikwe tu.
Ninyi ndio mnaompofusha Rais, na kumfanya achukiwe. Siku zote ukofanya jambo ambalo mpinzani wako alilitarajia, umekwishafeli.

Hawa polisi wasiojua kutumia akili, walipogoma tu kutoa ulinzi ambao wao wanauita kibali, kila mmoja, kwa kuujua upeo na akili ndogo za polisi wetu, alitarajia kuwa wangeishia kuwapiga watu. Na ndicho walichokifanya.

Na huu naamini ni mkakati uliopangwa vizuri kuhakikisha Samia anazidi kuchukiwa na wananchi walio wengi kadiri tunavyousogelea uchaguzi.
 
Mtu ambaye hawezi kufikiri sawasawa huwezi mpatia uhuru wake, waafrika hawawezi kufikiri sawasawa uwezo wao ni mdogo, chukulia mfano wa bandari maamuzi yaliyofanyika. Je waliofanya hayo maamuzi ambayo watu wanayalalamikia unaona wamefikiri sawasawa. Halafu hawa ndio unaona tuwape uhuru wao???
 
Demokrasia ya kufanya mikutano ya kisiasa ndio imerejeshwa na Ccm kwa sasa, hiyo ya kuandamana isubiri majadiliano mengine.
Tumuombe mungu atupe subra kwakweli, niwape pole wote waliopatwa na changamoto hiyo, mungu awape moyo wa subra.
 
Nyie wachache wa kupinga maendeleo hata mkimchukia mama hakuna shida, watz wengi Samia tumemwamini na tunampenda.
 
Nakupa moja, bandari ni suala la Muungano...ni kwann sasa mkataba wa bandari unazihusu bandari upande wa Tanganyika peke yake nakuziacha zile za Zanzibar, sio ubaguzi huu ni kitu gani?!.
Majibu ya swali lako haya hapa
 

Attachments

  • WAZIRI MBARAWA - 'BANDARI ya ZANZIBAR WALISHASAINI MKATABA SIKU NYINGI', AWA.mp4
    18.7 MB
Kuna watu humu walidai kuwa Watanzania ni waoga, hawawezi kuandamana.

Kiongozi mkuu kuendelea kumnyamazia suala hili Si BUSARA.

Aitishe PRESS, waalikwe waandishi wa habari, aje aeleze na kujibu maswali ya wananchi.
 
Kuna watu humu walidai kuwa Watanzania ni waoga, hawawezi kuandamana.

Kiongozi mkuu kuendelea kumnyamazia suala hili Si BUSARA.

Aitishe PRESS, waalikwe waandishi wa habari, aje aeleze na kujibu maswali ya wananchi.
Mwitikio wake ulikuwa ni mdogo sana. Waliojitokeza kuandamana ni wachache mno ukilinganisha na uwingi wa maoni ya wananchi hususan mitandaoni.

Cha kushangaza, serikali inababaishwa na hata hao wachache waliojitokeza!!
 
Cha msingi zaidi Muungano uvunjwe.
 
Mwitikio wake ulikuwa ni mdogo sana. Waliojitokeza kuandamana ni wachache mno ukilinganisha na uwingi wa maoni ya wananchi hususan mitandaoni.

Cha kushangaza, serikali inababaishwa na hata hao wachache waliojitokeza!!
Kanda ya ziwa Kila alikoenda alikutana na mabango kuhusu Bandari.

Kunyamaza Si BUSARA, atoke tu aseme na ajaribu kufafanua.
 
Hamna demokrasia wala nini alikuwa anawachota akili mambulula yakaingia kichwa kichwa kama kondoo
 
Mwalimu Nyerere alisema;"hoja hujibiwa kwa hoja,hoja hajibiwi kwa Rungu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…