President Putin gets Russian-made ZiL limousine

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,535
2,000
[h=1]President Putin gets Russian-made ZiL limousine [/h]Mwanaume anajali sana Mama Russia na si kutukuza vya wengine utafikiri wao hawana akili za kutengeneza.

Daahh, Unaweza kupata feeling kuwa Kagame ataanza na yeye kutengeneza magari kwa ajili yake na Serikali yake kwa ujumla. Wanaume wanaoweza kufikiri, acha wasonge mbele maana sisi tunajiangalia wenyewe tu....


Russian President Vladimir Putin is trading in his current ride, a Mercedes Benz, for a Russian-made Zil limousine. Zils are iconic vehicles well-known for being driven by some of Putin’s Soviet predecessors including Leonid Brezhnev, Mikhail Gorbachev and Boris Yeltsin.
A spokesperson for Zil said Putin’s limo was designed specifically to have both the historical features of the car as well as all the advantages of a contemporary vehicle.

Zil4112P-interior_350669c.jpg


russia_limo_putin_zil_468.jpg


Putin Swapping Mercedes for Russian-Made Zil Limousine | PRI's The World
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom