President Obama's first 100 days

Yesterday, Levin said he would have to delay Lynn's confirmation process because as a former defense lobbyist for Raytheon, Lynn's service would conflict with the Administration's new ethics rules. Those rules prohibit former lobbyist from working in the area they once lobbied, unless a waiver is given.
 
Yawezekana ameona kwamba ndio mtu atayefaa katika hii nafasi pamoja na hayo mapungufu aliyoona kwenye sera zake.

Mtu wa Kawaida,

Hii kanuni ya maadili haikulenga kuwa exclude wasiofaa kazi. Dhumuni la kanuni hii ni kuepusha migongano ya maslahi, uwe unafaa au hufai. Unaongoza wizara ya ulinzi wakati unafungamana na wafanyabiashara na wazabuni wa ulinzi. Hili ndio linapingwa hapa ambalo Obama kashindwa kulisimamia hata wiki hajakatisha ndani ya ofisi.

Moja. La pili ni kwamba, hata kama huyu mtu awe anafaa kiasi gani ni lazima Rais Obama aonyeshe kwamba ni mtu wa misimamo. Ukisema hakuna mtu atakaeruhusiwa kuwa na conflict of interest halafu ukaweka exceptions unaonyesha huelewi misingi ya kanuni na sheria. Kanuni umeiweka mwenyewe ukaiuza uza kwenye campaign.

Inamaana nchi nzima haina anaefaa kuwa naibu waziri wa ulinzi? Obama asianze vituko saa hizi.
 
Nadhani wakati anamteuwa huyu mkulu hakufikiria kwamba atakinzana na sera zake mwenyewe, na mkuu yupo juu ya sheria kwa wakati huu ndio maana katoa hiyo udhuru ili mtu wake aweze kushika wizara nyeti.
 
Kuhani,
I feel you man, I really do. Sometimes in politics reality plays havoc with ideals. Nakumbuka in 1966 Julius Nyerere alipendekeza kuondolewa kwa "gratuities" kwa waheshimiwa wabunge na mawaziri. Bunge likaafiki. A few months later Eliufoo died and the only way to help his family and his widow was through gratuities that had been removed by the bunge. Nyerere had to go back to the waheshimiwa and of course walikataa. He had to find other means to help the family.
 
Mtu wa Kawaida,

Hii kanuni ya maadili haikulenga kuwa exclude wasiofaa kazi. Dhumuni la kanuni hii ni kuepusha migongano ya maslahi, wanaofaa na wasiofaa. Unaongoza wizara ya ulinzi wakati una unafungamana na wafanyabiashara na wazabuni wa ulinzi. Hili ndio linapingwa hapa ambalo Obama kashindwa kulisimamia hata wiki hajakatisha ndani ya ofisi.

Moja. La pili ni kwamba, hata kama huyu mtu awe anafaa kiasi gani ni lazima Rais Obama aonyeshe kwamba ni mtu wa misimamo. Ukisema hakuna mtu atakaeruhusiwa kuwa na conflict of interest halafu ukaweka exceptions unaonyesha huelewi misingi ya kanuni na sheria. Kanuni umeiweka mwenyewe ukaiuza uza kwenye campaign.

Inamaana nchi nzima haina anaefaa kuwa naibu waziri wa ulinzi? Obama asianze vituko saa hizi.

Hapa Obama kachemsha na bora amuombe huyo jamaa aondoe jina lake haraka sana ili Obama amteue mwingine. Kuwa na controversial issue mapema kiasi hiki kunaweza kabisa kumuharibia malengo yake na hatimaye kushindwa kutimiza sera zake zilizomsaidia kuingia WH
 
Kuhani,
I feel you man, I really do. Sometimes in politics reality plays havoc with ideals. Nakumbuka in 1966 Julius Nyerere alipendekeza kuondolewa kwa "gratuities" kwa waheshimiwa wabunge na mawaziri. Bunge likaafiki. A few months later Eliufoo died and the only way to help his family and his widow was through gratuities that had been removed by the bunge. Nyerere had to go back to the waheshimiwa and of course walikataa. He had to find other means to help the family.

Hehehehehe...vipi na yule Treasury Secretary nominee...kakwepa kulipa kodi hadi alipoteuliwa kuwa waziri....saa mtu huyu mwenye tabia ya kukwepa kulipa kodi ndio atakuwa bosile wa chombo cha ukusanyaji kodi...what a joke!!

Nakumbuka 2001 watu walivyomshikia bango Linda Chavez......na 2005 walivyomshikia bango Bernard Kerik hadi akajitoa....lakini huyu Geithner tunaambiwa eti ana "talent" na ndiye anafaa kushika nafasi hiyo kama vile hakuna wengine kati ya watu millioni 300 wanaoweza kufanya hiyo kazi...
 
Hapa Obama kachemsha na bora amuombe huyo jamaa aondoe jina lake haraka sana ili Obama amteue mwingine. Kuwa na controversial issue mapema kiasi hiki kunaweza kabisa kumuharibia malengo yake na hatimaye kushindwa kutimiza sera zake zilizomsaidia kuingia WH

Uteuzi wa huyu lobbyist ulijulikana mapema na habari zikaandikwa juu ya hilo. Kilichotegemewa ni kuwa labda Obama angelimwomba huyu jamaa aondoe jina lake, lakini nadhani jina halikuondolewa kwa kuwa tayari Obama alikwishajua ni nini anahitaji kama Rais wa America. Kwa vile rais yuko tayari kufanya kazi na huyu jamaa uamuzi wake mara nyingi utaheshimiwa kwani Rais wa America anatakiwa apatiwe kila mtendeakazi au kitendeakazi anachohitaji, the rest zitabaki kuwa polikitiks.
 
Huyu Obama ni fraud tu hana lolote na hana kanuni zozote.....

Ka freeze malipo ya baadhi ya wafanyakazi wa white house lakini yeye hataki kuongoza kwa mfano na ku freeze mshahara wake mwenyewe....total b.s.
 
Hili suala la Geithner Obama alilielezea vizuri. Alisema haamini kuwa kila hajafanya makosa maishani na aliendelea kusema kuwa yeye hatafuti mtu ambaye hajawahi kufanya makosa, anatafuta mtu ambaye ataweza kufanya kazi na kama ambavyo anatarajia. Aliongezea zaidi kwa kusema kuwa, hata yeye (Obama) alikwisha fanya makosa katika maisha yake, je imemzuia kuwa Rais?
Hili ni somo jipya la kujifunza.
 
habari za kuaminika za hivi punde zinasema kwamba, Dr. shayo (US blogger) a.k.a Kawawa ndiye yule aliyemvamia mashaka kwa michuzi. Habari hizi zimepatikana baada ya Daktari kutuma barua pepe kwa bahati mbaya au nzuri kwa mtu ambaye hakuwa mlengwa

Habari hizo zimeendelea kusema kwamba, shayo amejigamba kwamba mdahalo kati yake na mashaka lazima ufanyike kwa sababu tayari wanahabari wake wameanza kumfatili mashaka ili kumshawishi kushiriki.

Mzee mzima dakta, pia ameonyesha shauku ya kugombea ubunge katika bunge lijalo

Kama hizi habari ni za kweli, basi jamaa takuwa amejidhalilisha sana.
Edit/Delete Message
 
Ni mapema sana kujaji maneno yako kwa kufreeze mishahara, kuna jambo, rais wa Amerika anashauriwa kabla hajachukua msimamo wake.
 
Uteuzi wa huyu lobbyist ulijulikana mapema na habari zikaandikwa juu ya hilo. Kilichotegemewa ni kuwa labda Obama angelimwomba huyu jamaa aondoe jina lake, lakini nadhani jina halikuondolewa kwa kuwa tayari Obama alikwishajua ni nini anahitaji kama Rais wa America. Kwa vile rais yuko tayari kufanya kazi na huyu jamaa uamuzi wake mara nyingi utaheshimiwa kwani Rais wa America anatakiwa apatiwe kila mtendeakazi au kitendeakazi anachohitaji, the rest zitabaki kuwa polikitiks.

habari za kuaminika za hivi punde zinasema kwamba, Dr. shayo (US blogger) a.k.a Kawawa ndiye yule aliyemvamia mashaka kwa michuzi. Habari hizi zimepatikana baada ya Daktari kutuma barua pepe kwa bahati mbaya au nzuri kwa mtu ambaye hakuwa mlengwa

Habari hizo zimeendelea kusema kwamba, shayo amejigamba kwamba mdahalo kati yake na mashaka lazima ufanyike kwa sababu tayari wanahabari wake wameanza kumfatili mashaka ili kumshawishi kushiriki.

Mzee mzima dakta, pia ameonyesha shauku ya kugombea ubunge katika bunge lijalo

Kama hizi habari ni za kweli, basi jamaa takuwa amejidhalilisha sana.
Edit/Delete Message
 
Hili suala la Geithner Obama alilielezea vizuri. Alisema haamini kuwa kila hajafanya makosa maishani na aliendelea kusema kuwa yeye hatafuti mtu ambaye hajawahi kufanya makosa, anatafuta mtu ambaye ataweza kufanya kazi na kama ambavyo anatarajia. Aliongezea zaidi kwa kusema kuwa, hata yeye (Obama) alikwisha fanya makosa katika maisha yake, je imemzuia kuwa Rais?
Hili ni somo jipya la kujifunza.

Hebu acha wewe kulipa kodi uone....
 
Hebu acha wewe kulipa kodi uone....

Mkuu,
Huyu Mheshimiwa sio kama alikwepa, la hasha, alilipa wakati ilipogundulika, kutokana na maelezo yake ni kwamba hakuwa amedhamiria kutokulipa au kukwepa. Nadhani hata hivyo kosa lake katika sakata hilo halikuwa kubwa kiasi cha kuwekwa katika list ya wasiolipa kodi. Alikiri na kuomba msamaha kwa mushkeli huo.
Endapo angekuwa amekwepa sidhani hata kama angepata nafasi ya kufikiriwa katika list ndefu ya Obama.
 
Ngoja basi na mimi nifanye hivyo hivyo halafu tuone....
 
Hapa Obama kachemsha na bora amuombe huyo jamaa aondoe jina lake haraka sana ili Obama amteue mwingine. Kuwa na controversial issue mapema kiasi hiki kunaweza kabisa kumuharibia malengo yake na hatimaye kushindwa kutimiza sera zake zilizomsaidia kuingia WH

Bubu,

Hapo umekuwa objective ile mbaya manake najua unampenda sana Obama. That's very big of you kukubali ukweli huu.

Bubu, nadhani tunakubaliana kwamba sote tunamtakia Obama mema, maana akifanikiwa sio yeye peke yake atakaenufaika bali chumi mbali mbali za dunia zitanusurika na hili li economic doldrum lililogubika dunia sasa hivi. Lakini japo tunamtakia mafanikio akichemsha tuseme tu. Ni yeye mwenyewe kaja na hii kanuni, akaiita ni kali kuliko yoyote ya maadili katika historia, lakini sasa anaumbuka manake hata Sen. Levin, democrat mwenzie, nae anasema ana ethic issues na huyu Mr. Lobbyist. Itabidi Naibu Waziri awe anajitoatoa kwenye maamuzi fulani fulani. Nishai. Sasa hivi Obama akiiongelea hii kanuni tena itaonekana haina meno maana inatoa vi waiver ovyo. Ataanza kujishushia vi approval ratings sasa hivi, we ngoja.
 
Back
Top Bottom