Dotworld,
Bwana kaka kwanza shukrani kwa kutuletea data bile mihemko na mahaba.
Putin hapendi kufanya ujinga During any presidential Pomp na hili tumethibitisha kwenye Ziara zake nyingi tu.
Kwanza middle-east ambako Obama anaoenda na battalion moja yeye Putin anaheshimika kama nyumbani. Its simply Putin hawezi rushiwa kiatu na mwandishi yoyote wa habari..His predecessors walijenga mahusiano mazuri na nchi za kiarabu hasa zile za kiislamu. They don't have a problem with dini.
Dada
kui,
Anga la Newyork lazima liwe busy kwasababu Marekani itapokea viongozi kutoka pande zote za dunia na hii haijawahi kutokea Marekani hapo mwanzo. Hii ni 70th Anniversary ya UN na watapanga tena mikakati ya miaka 15 ijayo.
Tukirudi kwenye maada yetu sasa, Obama ni lazima aonane na Putin.Atake asitake. Kwanza kuna pressure kubwa na dissatisfaction na utendaji mzima wa UN SECURITY COUNCIL. Mataifa mengi yanataka reforms zifanyike kwamba permanent members waongezwe.
Na nchi kama Ujerumani, Brazil na India zinataka kuwa katika Baraza hilo.
Shida inakuja pale ambapo wanataka wale permanent members hadi VETO POWERS zao ziangaliwe upya. Na huu mjadala umekuwepo toka muda sana na hadi kuna siku DR MAHIGA alishawahi lisema kwenye vikao vya security council alipokuwa mwenyekiti kama watu walifuatilia.
Kwa hili Putin na Obama ni lazima walijadili, tena kwa undani maana General Assembly ikishinikiza sana basi kuna hatari sana ya viongozi wengi wa dunia kuunga mkono na italeta madhara sana kwa world politics. So siyo la kushangaza saaaana.
BTW Putin hajawahi kwenda hutubia UN tangu mwaka 2005. Ila Obama na Kelly wamekuwa wakienda sana RUSSIA. Why it is simply Russia is among great players of international politics. It is an Undeniable fact.
Kwa upande wa pili Putin kasema ataenda kuongelea SYRIAN situation...that's According to Dymitry Peskov Putins spokesman. Na kasema Putin ameendaa speech hiyo kwa zaidi ya MIEZI MIWILI,.sasa imagine nini kitatokea huko.
The White house spokesman kasema the main agenda itakuwa ni Ukraine. Haya ushaona hawa majamaa washaanza kupingana kabisa. Moja ukraine na moja Syria.
Sasa delegates wapo NYCity leo. Tusibri tuone nani ataondoka NEW YORK as the main player of world politics. Only time will tell.
Sipendi mahaba ya kipumbavu,...Motor Cade ya Obama wala Airforce One hazibadilishi world politics. Kama zingebadilisha basi THE EMIRATES wangekuwa wa kwanza kwa duniani.