Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,745
Rais wa Uganda, Yoweri Mseveni hivi karibuni amesikika akipiga vita mapenzi kwa njia ya mdomo.
Amesema kuwa mdomo ni kwa ajili ya chakula na sio wa kunyonyea maungo ya uzazi.
Amesema wanaojielewa wanajua 'address for sex'... Because we have it.
NB: Wazee wa kuzama chumvini mtafakari ujumbe huu!