President Magufuli Mourns Fidel Castro death

Iwe kwa vitendo maana Castro aliongea na kutenda ....

Nyerere ndiye aliweza Sera zake.......
 
Kenya hawajifunzi ni Lugha ambayo wanazaliwa Nayo kiswahili labda Mombasa miji kama Nairobi mtoto anakua na Kiingereza kiswahili ni Lugha ya pili kwa most Kenyans
 
ningekuwa mimi, ningepitia kwanza wenzangu wamesemaje,halafu naboreshea mumo kwa mumo ili kuepuka criticism za wabongo kama hizi.

sina mbavu mkuuu......, kwaiyo ungemsubiri Obama kwanza kaandikaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…