President Magufuli Government and Discovering of Helium Gas in Tanzania.

Abu Hamdy

Member
Jun 27, 2016
29
17
The discovering of large helium gas field in Tanzania, President Magufuli leadership/government will be needed if we want this fortunes to be used for the benefit of this country. The amount of helium gas discovered is estimated at 54 billion cubic feet- which potentially meet global demand several years.
And global price of helium going up 500% in the last 15 years. Tanzania's fortunes seems to be very very blessed. Helium is used in hospitals in MRI scanners as well as in spacecraft,telescopes and radiation monitors. USA Federal Helium Reserve, which is the world's largest supplier, has a current reserve of just (4.3 billion cubic meters).
Sasa tuamini kauli ya Rais Magufuli nchi hii ni tajiri sana very soon tutakuwa nchi ambayo inatoa misaada kwa nchi masikini duniani.
 
"muda si mrefu",uvunaji rasilmali sio sawa na kilimo cha mchicha kwamba unalima leo kesho unavuna.. it takes so much time.. ushawahi kijiuliza kwanini ile gesi ya mtwara bado haijaanza kuuzwa kwa matumizi ya nyumbani? Think big bro
 
Tafadhali tazama maelezo zaidi hapa:

ScienceEnvironmentResearch Oxford University

Now, a research group from Oxford and Durham universities, working with Norway-headquartered helium exploration company Helium One, has developed a brand new exploration approach. The first use of this method has resulted in the discovery of a world-class helium gas field in Tanzania.

Professor Chris Ballentine, Department of Earth Sciences, University of Oxford, said: 'We sampled helium gas (and nitrogen) just bubbling out of the ground in the Tanzanian East African Rift valley. By combining our understanding of helium geochemistry with seismic images of gas trapping structures, independent experts have calculated a probable resource of 54 Billion Cubic Feet (BCf) in just one part of the rift valley. This is enough to fill over 1.2 million medical MRI scanners. To put this discovery into perspective, global consumption of helium is about 8 BCf per year and the United States Federal Helium Reserve, which is the world’s largest supplier, has a current reserve of just 24.2 BCf. Total known reserves in the USA are around 153 BCf. This is a game changer for the future security of society’s helium needs and similar finds in the future may not be far away.'
 
Matumizi ya nyumbani siyo kipaumbele cha kiuchumi cha gesi asilia ya Tanzania, isipokuwa commercial export ambayo inahitaji miundombinu, utaalam, sheria mahsusi, misururu ya mikataba na institutions mahsusi. Mambo hayo yote yanafanyiwa kazi kwa sasa. Kiwanja cha kujenga mtambo wa LNG (liquefied natural gas) - mkoani Lindi, kimepatikana Januari mwaka huu (2016) baada ya JPM kuingia madarakani na kuingilia kati. Miaka 3 kabla ya hapo genge la wala rushwa katika serikali ya Kikwete yalikuwa yamekwamisha kupatikana kwa ardhi baaada ya kuingilia kati mchakato husika kwa lengo la kujinufaisha. Genge hilo lilikuwa likilazimisha uwekezaji ufanyike katika ardhi isiyofaa kujengwa mtambo wa NLG (ili mwekezaji alazimishwe kununua ardhi hiyo) badala ya eneo lililotathminiwa na kuthibitika kufaa kujengwa mtambo wa NLG ambalo, hata hivyo, ardhi yake haikuhitaji kununuliwa (government offer). NLG ya kwanza kuuzwa nje inategemewa kati ya 2020-2015, ikiwa mipango yote itatekelezwa bila mabadiliko.
 
The discovering of large helium gas field in Tanzania, President Magufuli leadership/government will be needed if we want this fortunes to be used for the benefit of this country. The amount of helium gas discovered is estimated at 54 billion cubic feet- which potentially meet global demand several years.
And global price of helium going up 500% in the last 15 years. Tanzania's fortunes seems to be very very blessed.
Sasa tuamini kauli ya Rais Magufuli nchi hii ni tajiri sana very soon tutakuwa nchi ambayo inatoa misaada kwa nchi masikini duniani.
Wakati mwingine matamko ya wakubwa yanafanana na kuhesabu kuku wakati mayai hayajatotolewa!
Ni wateule wenu wachache tu watakaofaidi huo utajiri bila kuimarisha banda zima la kuku kama vile:

. Usafi wa banda na mazingira,
. Maji safi, chakula bora, matibabu nk.
. Ulinzi na salama:
. Wizi wa binadamu, vicheche, kunguru,
. nyoka, paka shume nk.

KWAHIYO LAZIMA YAWEPO HAYA:
. malengo, mipango kabambe yenye
. utaalamu + weledi thabiti + maono
. ubunifu na usimamizi makini:
. utekelezaji na ufuatiliaji imara
KATIKA:
HAKI, NIDHAMU, UHURU, NA AMANI YA KWELI.
Δ HAPA NI: "HAKI NA KAZI TU"
 
Tafadhali tazama maelezo zaidi hapa:

ScienceEnvironmentResearch Oxford University

Now, a research group from Oxford and Durham universities, working with Norway-headquartered helium exploration company Helium One, has developed a brand new exploration approach. The first use of this method has resulted in the discovery of a world-class helium gas field in Tanzania.

Professor Chris Ballentine, Department of Earth Sciences, University of Oxford, said: 'We sampled helium gas (and nitrogen) just bubbling out of the ground in the Tanzanian East African Rift valley. By combining our understanding of helium geochemistry with seismic images of gas trapping structures, independent experts have calculated a probable resource of 54 Billion Cubic Feet (BCf) in just one part of the rift valley. This is enough to fill over 1.2 million medical MRI scanners. To put this discovery into perspective, global consumption of helium is about 8 BCf per year and the United States Federal Helium Reserve, which is the world’s largest supplier, has a current reserve of just 24.2 BCf. Total known reserves in the USA are around 153 BCf. This is a game changer for the future security of society’s helium needs and similar finds in the future may not be far away.'

Hii inanikumbusha juzi juzi mwl wangu mmoja wa Physical earth sciences alinyimwa kibali cha kufanya utafiti wake kwenye mlima mmoja ambapo the "open objective" ilikuwa ni kutafiti juu ya historia ya binadamu wa kale....naye ali win hii project akakubaliwa kufanya upande wa nchi jirani yetu lakini yy alisema ule upande wamegundua hautoi matumaini makubwa isipokuwa upande wetu...my point, serikali iwe makini sana na hizi tafiti ambazo nyingi yake wanafunzi wanaofadhiliwq wamekuwa wakotumiwa kwa bei rahisi mno waki saidia kupunguza garama za gunduzi hizi alafu baadaye hao wenzetu huja na madai kuwa wamefanya ugunduzi. Kuna viti vingi sana vinaendelea na sijui kama kuna mwenye kung'amua baadhi ya kinachofanyika....

Tunao wataalamu wengi sana huku nchini ambao wameshindwa kuisaidia nchi yetu kwakua tu swala la tafiti limeachiwa wafadhili ambao nyuma ya open objectives wanazo kusudi zao....Siyo mbaya kufadiliwa lakini tuwe na ufuatiliaji wa karibu ili na hao wahusika waweze kuwa part and parcel ya gunduzi hizo. Hii itaipa hata nchi nafasi ya kudai umiliki wa gunduzi hizo.

Tusibakie tu kifanya applied research na hata hizo kutumia tu madodoso ambayo kiuhalisia ni kujua tu kumbukumbu na uzoefu wa yule anaye dodoswa...
 
Back
Top Bottom