'President Uhuru Kenyatta is set to visit Botswana on Wednesday following an invitation from President
Seretse Khama Ian Khama.
President Kenyatta will fly to Gaborone for the one day official visit after his two day trip to South Africa
and is to hold talks with President Khama on bilateral, regional and international issues of mutual interest.'
http://www.nation.co.ke/news/politi...a-Visit/-/1064/2059064/-/27vq1cz/-/index.html
Unajitahidi sana kujieleza mkuu Jammu Africa, kumbe ndio maana mji wa Eldoret umejengeka vizuri sana - wazungu kitu kingine Mkuu. Mkuu mbona De Clark aliwahi kusema alipo kuwa mtoto mdogo alisoma mji wa Mbeya Tanzania, which means wazazi wake walikuwa wanaishi Tanganyika ya kikoloni kama wakulima kama sikosei. Kitu kingine mkuu, sikumbuki kama niliwahi kusikia kulikuwepo na njama za kuitenga Kenya! Waafrica wenye akili timamu wanawezaje kutenga Wafrica wenzao, hii aingii akilini hata kidogo - labda nikili kwamba siku za hivi karibuni Kenya, Uganda na Rwanda ndio wameanza kuonyesha mfano mbaya wa kutaka kuitenga TANZANIA! What unAfrican Culture? Beware of Friday the 13th, beware triple Ks aka UTATU MTAKATIFU.De Clark alizuru Kenya kuwatembelea wazungu ambao roots zao,,nikutoka S Africa.Hawa wazungu waliwahi kuishi mahali panapo julikana kama Eldoret, na niwao kwaukubwa walio anzisha huu mji. Hakuna ukweli wowote kuhusu Kenya kutembelewa na De Clark,,,nimechukuliahayo kama,,just a joke,,,kwani inchi ambazo zilikua za support apartheid,,,zilijulikana,,wazi wazi.Hakuna mwa Afrika wa kawaida angeliweza kuunga mkono apartheid naasitengwe na inchi zingine za kiafrika.:smiling::smiling:Kwahivyo,,ukweli ni,,,ndio De Clark aliwahi kutembelea Kenya,,miakaya 90's, akaenda hadi Eldoret kutembelea jamaa wake,,,hukoEldoret,,,,familia wa De Clark walio hamia Kenya miaka ya haponyuma.Nitajaribu kutafuta hii,,,,link,,,,kwani,,,,ukweli una gharama.waweza kudhibitisha haya,,,kwani nimeyasikia leo.:confused2:................................................................................................................................Tena,,tuangalie mambo yalivyo,,sasa,,,kama Kenya iliwahi ku support apartheid,,,,Zaidi ya Mandela kuzuru Kenya na kuhutubia wakenya kutoka Uhuru Park,,,kwa hivisasa,,,rais wa South Africa ni mmoja wa marais ambao wako nyuma ya Uhuru katikahii miereka ya ICC,,,kwanini ajihusishe na Kenya ambayo ilienda kinyume na wao???Walio support apartheid,,,wanajulikana,,haikua siri.Sasa rais wa Kenya ako South Africa kwa mikutano,,mmjawapo ukiwa wa ,,,SADC,,,,kisha,,huyo,,,,Botswana kwa ziara ya siku moja.Wengi walitarajia Kenya kutengwa,,na wenzao wa kia,,,hawa makaburu wa westerncountries walikua wamejaribu,,,,,kuchochea,,,,Botswana waingia kwa mtengo na kuanzakuropkwa wakati tuu,,Uhuru aliposhinda.Sasa amemuita Uhuru huko kwao,,,kumuambia,,,pole bwana,,,,,kwani,,, ULIMI KATELEZA,,nielewe bwana,,,,,,,,,,,
Unajitahidi sana kujieleza mkuu Jammu Africa, kumbe ndio maana mji wa Eldoret umejengeka vizuri sana - wazungu kitu kingine Mkuu. Mkuu mbona De Clark aliwahi kusema alipo kuwa mtoto mdogo alisoma mji wa Mbeya Tanzania, which means wazazi wake walikuwa wanaishi Tanganyika ya kikoloni kama wakulima kama sikosei. Kitu kingine mkuu, sikumbuki kama niliwahi kusikia kulikuwepo na njama za kuitenga Kenya! Waafrica wenye akili timamu wanawezaje kutenga Wafrica wenzao, hii aingii akilini hata kidogo - labda nikili kwamba siku za hivi karibuni Kenya, Uganda na Rwanda ndio wameanza kuonyesha mfano mbaya wa kutaka kuitenga TANZANIA! What unAfrican Culture? Beware of Friday the 13th, beware triple Ks aka UTATU MTAKATIFU.
Ulisikia wapi simba wa nyika anavuta bangi?...Macho ya,,,,,,,,,,,,,
SIMBA WA NYIKA...
Ulisikia wapi simba wa nyika anavuta bangi?
Haujajibu swali langu, licha ya kutapatapa!Kwani,,,,,,,,,Hauna,,,habari,,,??????...