Hizi propaganda tuu , kwamba wamarekani na uingereza wapo upande wake , huyu mama hafai kabisa ,mbona viongozi wetu wanaonana na hawa makamanda kila wakati na watu wa intelligence hata siku moja huoni picha kama hivi zimetolewa ,mi sidhani kama ana nia hasa ya kuchukua ziwa nyasa , nafikiri nia yake nikuongeza umarufu kwa ajili ya urais , ni propaganda zilizotumiwa na marais wengi africa ,kawaida watu mkigombana ndani ya nchi ukitafuta enemy wa nje watu wa ndani huwa wanaungana kupambana na adui wa nje , mfano mugabe alivyo washawishi wananchi wake kwamba enemy ni wazungu wachukue mashamba ,kama ni ziwa lake mbona aweki wanajeshi kulinda pale
Ya kawaida tu hayo. Mbona hata hapa Tanzania alikuja mkuu wa majeshi ya China,walikuja maafisa wa jeshi la Japan na manowari zao,walikuja maafisa wa jeshi la Urusi, walikuja maafisa wa jeshi la Marekani,ilikuja manowari ya South Africa na mkuu wao wa jeshi,walikuja maafisa wa jeshi la ujerumani. Mbona sisi huwa hatuji paishi paishi hewani kiasi hicho? Huko ni kutapatapa tu. Kwa taarifa maafisa kibao wa jeshi la china wapo hapa bongo wakitoa mafunzo mbalimbali. Si kila jambo la usalama wa nchi lazima wapewe waandishi,mengine si for public consumption!. Ila kwa atayetuchokoza ndio atajua sisi ni nani!
Its their right to meet whoever they like but if its for the sake of the Lake Nyasa saga, they're fooling themselves.
Until the end of times no inch of our land or our waters shall be taken away by any means. The best they can do is to kill all of us thereafter it will be so easy to take what they want.
If God gave us who has the right to take it away? Heligoland Treaty? Ha ha ha ha ha! Never!
Lakini huwa najiuliza, kwanini Tanzania inaonewa hivi kwenye issue ya ardhi na mipaka lakini sisi hatujawahi kamwe kudhulumu cha mtu au kutamani chake? Idd Amin alikuja akidai maeneo fulani ya Kagera ni sehemu yake; leo anazuka "another Amin" akidai maeneo fulani ya mpaka wa kusini ambao umekuwa hivyo ulivyo tangu karne na karne.
Hii issue inazidi kuwa nzito; serikali lazima iweke mikakati mizito na strategies muhimu. Lazima kuwe na mawasiliano na mipango mizuri hasa na marafiki zetu wa damu - Mozambique, Zambia, Zimbabwe, na Botswana endapo lolote litatokea.
mmmh huyu mama anatoa hizo picha kututisha ama? baraka obama wa east africa..anaongea na mkuu wa majeshi sie twaongea na presida...
Mkuu niliwahi kusema hali inavyo onekana upande wetu - si kwa Malawi tu hata suala la DRC - Tanzania hatuna marafiki wa kweli katika jumuhia ya Africa Mashariki, karibu wote wanatamani kutokee vurugu Tanzania hili watimize malengo yao.
Sasa ndio ungekuwa muda muhafaka wa kushirikiana na marafiki zetu wa damu katika nyanja za Kijeshi na Kiuchumi, yaani nchi za: Angola, Zimbabwe, Mozambique, Zambia, Namibia South Africa nk.
Nchi tajwa hapo juu ndio ziliwahi kusaidia DRC isitekwe na kupinduliwa na majeshi ya Uganda na Rwanda, hicho ndicho kinafanya M7 ifikilie mara mbili kabla ya kujaribu kupeleka majeshi yake Kinshasa - siyo kama wanamweshimu Kabila Jr wala nini sijuhi.
Mkuu umenena vyema! Binafsi sina na wala sikuwahi kuwa na imani na huyu mnyama anayeitwa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Zaidi ni ma-opportunists fulani kuliko urafiki wa damu. Kamwe siiamini Kenya, Uganda, au Rwanda kama nilivyo na imani na Zambia, Msumbiji, au hata DRC ni marafiki wazuri na mahali salama zaidi kuliko EAC members.
kaka kiintelijensia hii ni bit of information never to be ignored