President Joyce Banda meets US military officers: Discuss Lake Malawi issues

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,571
PRESIDENT JOYCE banda on held can audience with UNITED STATE OF AMERICA (US) six military officer delegation at Kamunzu palace.

Meeting taken 45 Minutes

Commentary us Africa command said he was very happy to meet president Banda and they discuss issues of mutual security

Meeting the president that he had discussed with Malawian military ,political official the lake Malawi boarder dispute with Tanzania

MDF Ministry of defence , He explain Malawi send 150 military official to ivort cost to bring peace and security

He explained that the us government is deeply involved in training Military official Malawi Armed Force COALLITION

Source JB meets US Military officers: Discuss Lake Malawi issue | Malawi news, Malawi - NyasaTimes breaking online news source from Malawi
 
Attachments

  • banda ;am.png
    banda ;am.png
    138.4 KB · Views: 179
  • malawi 2.png
    malawi 2.png
    127.8 KB · Views: 164
  • mal3.png
    mal3.png
    120.6 KB · Views: 180
Its their right to meet whoever they like but if its for the sake of the Lake Nyasa saga, they're fooling themselves.

Until the end of times no inch of our land or our waters shall be taken away by any means. The best they can do is to kill all of us thereafter it will be so easy to take what they want.

If God gave us who has the right to take it away? Heligoland Treaty? Ha ha ha ha ha! Never!

Lakini huwa najiuliza, kwanini Tanzania inaonewa hivi kwenye issue ya ardhi na mipaka lakini sisi hatujawahi kamwe kudhulumu cha mtu au kutamani chake? Idd Amin alikuja akidai maeneo fulani ya Kagera ni sehemu yake; leo anazuka "another Amin" akidai maeneo fulani ya mpaka wa kusini ambao umekuwa hivyo ulivyo tangu karne na karne.

Hii issue inazidi kuwa nzito; serikali lazima iweke mikakati mizito na strategies muhimu. Lazima kuwe na mawasiliano na mipango mizuri hasa na marafiki zetu wa damu - Mozambique, Zambia, Zimbabwe, na Botswana endapo lolote litatokea.
 
Hizi propaganda tuu , kwamba wamarekani na uingereza wapo upande wake , huyu mama hafai kabisa ,mbona viongozi wetu wanaonana na hawa makamanda kila wakati na watu wa intelligence hata siku moja huoni picha kama hivi zimetolewa ,mi sidhani kama ana nia hasa ya kuchukua ziwa nyasa , nafikiri nia yake nikuongeza umarufu kwa ajili ya urais , ni propaganda zilizotumiwa na marais wengi africa ,kawaida watu mkigombana ndani ya nchi ukitafuta enemy wa nje watu wa ndani huwa wanaungana kupambana na adui wa nje , mfano mugabe alivyo washawishi wananchi wake kwamba enemy ni wazungu wachukue mashamba ,kama ni ziwa lake mbona aweki wanajeshi kulinda pale
 
kaka kiintelijensia hii ni bit of information never to be ignored
 
huyu mama anatapatapa tu kiukweli hana jipya na anatafuta umaarufu wananchi wake hawataki hata kusikia jambo kama hili maana wanaamini Tanzania hiyo sehemu ni yao miaka nenda rudi leo hii anatokea yeye anaanza kupiga kelele ninajamaa yangu mmalawi anasema wananchi wengi hawamuungi mkono maana wanajua madhara yatakuwa makubwa sana kuliko aridhi wanayotaka kuipigania na pia wanaongopa jeshi la tanzania maana tanzania ukiitoa msumbiji nchi zingine zote zinazoizunguka malawi wana urafiki wa damu ina maana wana weza tumika kuimaliza malawi kama sikuifuta kwenye ramani ya africa na kuwa tanzania
 
Ya kawaida tu hayo. Mbona hata hapa Tanzania alikuja mkuu wa majeshi ya China,walikuja maafisa wa jeshi la Japan na manowari zao,walikuja maafisa wa jeshi la Urusi, walikuja maafisa wa jeshi la Marekani,ilikuja manowari ya South Africa na mkuu wao wa jeshi,walikuja maafisa wa jeshi la ujerumani. Mbona sisi huwa hatuji paishi paishi hewani kiasi hicho? Huko ni kutapatapa tu. Kwa taarifa maafisa kibao wa jeshi la china wapo hapa bongo wakitoa mafunzo mbalimbali. Si kila jambo la usalama wa nchi lazima wapewe waandishi,mengine si for public consumption!. Ila kwa atayetuchokoza ndio atajua sisi ni nani!
 
specifical tuliongelea huu mzozo?wao wanongelea mzozo direct au walikuja kwa ajili ya maalamia
 
mmmh huyu mama anatoa hizo picha kututisha ama? baraka obama wa east africa..anaongea na mkuu wa majeshi sie twaongea na presida...
 
Its their right to meet whoever they like but if its for the sake of the Lake Nyasa saga, they're fooling themselves.

Until the end of times no inch of our land or our waters shall be taken away by any means. The best they can do is to kill all of us thereafter it will be so easy to take what they want.

If God gave us who has the right to take it away? Heligoland Treaty? Ha ha ha ha ha! Never!

Lakini huwa najiuliza, kwanini Tanzania inaonewa hivi kwenye issue ya ardhi na mipaka lakini sisi hatujawahi kamwe kudhulumu cha mtu au kutamani chake? Idd Amin alikuja akidai maeneo fulani ya Kagera ni sehemu yake; leo anazuka "another Amin" akidai maeneo fulani ya mpaka wa kusini ambao umekuwa hivyo ulivyo tangu karne na karne.

Hii issue inazidi kuwa nzito; serikali lazima iweke mikakati mizito na strategies muhimu. Lazima kuwe na mawasiliano na mipango mizuri hasa na marafiki zetu wa damu - Mozambique, Zambia, Zimbabwe, na Botswana endapo lolote litatokea.

Mkuu niliwahi kusema hali inavyo onekana upande wetu - si kwa Malawi tu hata suala la DRC - Tanzania hatuna marafiki wa kweli katika jumuhia ya Africa Mashariki, karibu wote wanatamani kutokee vurugu Tanzania hili watimize malengo yao.

Sasa ndio ungekuwa muda muhafaka wa kushirikiana na marafiki zetu wa damu katika nyanja za Kijeshi na Kiuchumi, yaani nchi za: Angola, Zimbabwe, Mozambique, Zambia, Namibia South Africa nk.

Nchi tajwa hapo juu ndio ziliwahi kusaidia DRC isitekwe na kupinduliwa na majeshi ya Uganda na Rwanda, hicho ndicho kinafanya M23 ifikilie mara mbili kabla ya kujaribu kupeleka majeshi yake Kinshasa - siyo kama wanamweshimu Kabila Jr wala nini sijuhi.
 
Dah! Hapo kwenye picha; hilo li-Jenerali la Kimerikani lilivyochafuka na hayo manishani kifuani linatisha wazee.
 
mmmh huyu mama anatoa hizo picha kututisha ama? baraka obama wa east africa..anaongea na mkuu wa majeshi sie twaongea na presida...

Mkuu ogopa sana Merikani inapokuja suala la mafuta, usishangae kukuta mkuu wa majeshi wa Merikani ana heshimu kampuni za mafuta za nchi hiyo kuliko boss wake - wanaweza kabisa kufanya mambo ya ajabu bila ya kumshilikisha OBAMA, cha muhimu tusibweteke mkuu.
 
Mkuu niliwahi kusema hali inavyo onekana upande wetu - si kwa Malawi tu hata suala la DRC - Tanzania hatuna marafiki wa kweli katika jumuhia ya Africa Mashariki, karibu wote wanatamani kutokee vurugu Tanzania hili watimize malengo yao.

Sasa ndio ungekuwa muda muhafaka wa kushirikiana na marafiki zetu wa damu katika nyanja za Kijeshi na Kiuchumi, yaani nchi za: Angola, Zimbabwe, Mozambique, Zambia, Namibia South Africa nk.

Nchi tajwa hapo juu ndio ziliwahi kusaidia DRC isitekwe na kupinduliwa na majeshi ya Uganda na Rwanda, hicho ndicho kinafanya M7 ifikilie mara mbili kabla ya kujaribu kupeleka majeshi yake Kinshasa - siyo kama wanamweshimu Kabila Jr wala nini sijuhi.

Mkuu umenena vyema! Binafsi sina na wala sikuwahi kuwa na imani na huyu mnyama anayeitwa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Zaidi ni ma-opportunists fulani kuliko urafiki wa damu. Kamwe siiamini Kenya, Uganda, au Rwanda kama nilivyo na imani na Zambia, Msumbiji, au hata DRC ni marafiki wazuri na mahali salama zaidi kuliko EAC members.
 
Well said mkuu, hatuna usalama wowote ndani ya EAC; we fikilia kulikuwa na haja gani ya kununua ma helicopter gunships na fourth generation fighter planes ambazo haziwezi kukusaidia kitu katika vita vya misituni - Uganda walisema wamenunua gunships zisaidie kumsaka KONI, mpaka leo hii hawaja fanikiwa kumtia mbaroni KONI dead or alive!!

Kwa mawazo yangu mambo ya KONI kilikuwa ni kisingizio tu si ajabu helikopta hizo walitaka zitumike kuishambulia nchi za jirani specifically DRC kwa mara ya pili au moja wapo ya nchi ya Africa Mashariki; sasa Kenya ilipo ona wenzao wamenunua ma Helicopter gunships na kumbuka Kenya na Uganda waliwahi kutaka kupigana kutoka na mzozo wa kisiwa, hivyo Kenya na yenyewe ikaona kuna umuhimu wa kununua HelicopterGunships za kwao ambazo ziko more deadly na hakuna mtu ambaye anaweza kuilahumu Kenya kumbe wanafanye nini? Sasa Africa Mashariki tutajikuta tunaingia kwenye arm race zisizo za lazima!

Karibu nchi zote za Africa Mashariki zina mali asili ya mafuta na gesi, zikifanikiwa kuanza ku-exploit na ku-refine utajili huo, basi nchi za magharibi zitahanza kuchochoea vurugu tushindwe kuelewana tuanze kupigana wenyewe kwa wenyewe wachukue mwanya huo kutuibia kila kitu - DRC ingekuwa masikini wala vurugu zisingeweza kutokea ingekuwa shwali kabisa.
 
Ni ishara tosha ya kiongozi asiyekuwa na mbinuza kujenga uchumi wa nchi, na mbinu ya kujipatia umaarufu kisiasa. Huku akipigwapigwa mabegani na Wamarekani, ambao hawaaminiki hata kidogo, maana sitashangaa mwisho w siku wakikamilisha wanalotaka watampa silaha, inteligensia nk halafu watampeleka the Hegue kama si kumuua ili kupoteza kabisa ushahidi wa agenda yao.

Huwezi kuanzisha ugomvi na jirani yako kama mbinu ya kutaka kuwa maarufu mtaani, haiwezikani utaishi kwa amani kweli? na nadhani kwa uchumi wa Malawi kwa sasa hawana kiburi cha kupigana vita, maana hata Raisi wao walipata shida ya kuweka mafuta kwenye jenereta na ndege ya kumsafirishia hakuna hela, na Moturary ya nchi ilikuwa haifanyi kazi maana hakuna umeme!!! Ni vituko, na achilia mbali shida ya mafuta ambayo sijui kama imeisha.

Sishangai kama kadanganyika na Marekani na vibaraka wake kuwa watamsaidia kujenga uchumi iwapo ataawapa mkataba wa kuchimba mafuta (Na uranium) na kuwauzia. Na kama ilivyo kwa viongozi wengi Afrika walio walafi labda ana mgao wake tayari (maana simuamini hata mmoja wote walipiga kelele za mbwembwe majukwaani wakaishia kuwa walewale na yaleyale ya ufisadi bila aibu hata kidogo).
 
Vita ni mbaya sana, ninaogopa sana vita.
Ndio maana ninapenda sana siasa kwa kuwa ni nzuri sana.
 
The fundamental cause of trouble in the world is that the stupid are cocksure while the intelligent are full of doubt." - Bertrand Russell (1872-1970):A S thumbs_up:
 
Linapokuja swala la mafuta! Wamarekani hawajali haki ipo wapi wataangalia maslahi yao kwanza..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom