johf1981
Member
- Dec 13, 2016
- 13
- 3
Msaada jamani mke wng ameanza kusumbuliwa na tatizo la presha ya kushuka takriban wiki ya tatu sasa,Mara nyingi uhisi kichwa kuuma sana,hivyo alishauriwa awe anakunywa coca cola au kahawa,na yeye anasema kdg huwa zinamsaidia.
Je,hakuna dawa ambayo anaweza akatumia ili kupata solution ya kudumu kukomesha ugonjwa huu?
Msaada tafadhali,asanteni sana
Je,hakuna dawa ambayo anaweza akatumia ili kupata solution ya kudumu kukomesha ugonjwa huu?
Msaada tafadhali,asanteni sana