We ni zaidi ya mpumbavu nyoko wewe.
Wangeyafanya haya Ukawa nadhani ungefanya sherehe kilaza mkubwa wewe!!
Go @Magufuli go, ulipo tupo!!
Kamzaliliasha nani mkuuYou will stifle creativity & innovations in governance.
So, probably Hon. Kilango deserved it. However, such summary dismissals will scare your subordinates (ministers and below) to a point of being Zombies instead being your linchpins in perfecting your governance.
Kama kuanzia mawaziri hadi vigogo wilayani watakuwa na mtera wakiogopa kisu chako cha majipu basi utawala utakuwia mgumu sana. Wasaidizi wako wataogopa kutoa maamuzi magumu (na pengine yenye hitlafu hapa na pale - i.e., not to your liking) wakichelea kuumbuliwa na bosi.
Mkuu wa ngazi ya juu akiteleza muite (au waziri wako amuite) chemba na kumpa karipio la kirafiki (faragha) halafu mtie moyo (encourage) aendelee kuthubutu makubwa zaidi.
Hii fukuza-fukuza hii utakuja jikuta uko peke yako kifikra katika awamu hii ya tano. Watanzania wengi wangependa urudi awamu ya sita na nina uhakika utarudi lakini tumia diplomasia sasa katika utawala wako.
Kila mtu sasa anajua kasi yako na nidhamu yako. Najua Rais you are not diplomatic in nature but you need diplomacy (in your rule) now more than ever. Unaweza kubaki na kasi hiyohiyo ulionayo bila kudhalilisha wasaidizi wako.
Ushauri kwako kama rafiki.
Kusema una ghost workers zero ndio maamuzi magumu sio, we hovyo kabisa, Magu (Hon.) mbele kwa mbele, tulipokuwa tumefikia tunahitaji kasi yakoYou will stifle creativity & innovations in governance.
So, probably Hon. Kilango deserved it. However, such summary dismissals will scare your subordinates (ministers and below) to a point of being Zombies instead being your linchpins in perfecting your governance.
Kama kuanzia mawaziri hadi vigogo wilayani watakuwa na mtera wakiogopa kisu chako cha majipu basi utawala utakuwia mgumu sana. Wasaidizi wako wataogopa kutoa maamuzi magumu (na pengine yenye hitlafu hapa na pale - i.e., not to your liking) wakichelea kuumbuliwa na bosi.
Mkuu wa ngazi ya juu akiteleza muite (au waziri wako amuite) chemba na kumpa karipio la kirafiki (faragha) halafu mtie moyo (encourage) aendelee kuthubutu makubwa zaidi.
Hii fukuza-fukuza hii utakuja jikuta uko peke yako kifikra katika awamu hii ya tano. Watanzania wengi wangependa urudi awamu ya sita na nina uhakika utarudi lakini tumia diplomasia sasa katika utawala wako.
Kila mtu sasa anajua kasi yako na nidhamu yako. Najua Rais you are not diplomatic in nature but you need diplomacy (in your rule) now more than ever. Unaweza kubaki na kasi hiyohiyo ulionayo bila kudhalilisha wasaidizi wako.
Ushauri kwako kama rafiki.
We ni zaidi ya mpumbavu nyoko wewe.
Wangeyafanya haya Ukawa nadhani ungefanya sherehe kilaza mkubwa wewe!!
Go @Magufuli go, ulipo tupo!!
Upumbavu si tusi - Tundu Lissu.The difference between the genius and stupidity is that genius has its limit" Albert Einstein. Hakukuwa Na haja ya kumtukana jamaa.
I do bèlieve that there is time for diplomacy, politics, and administration/governance. Let's allow our president do his duties because it's not time for politics nor diplomacy. Mahiga will do diplomacy.You will stifle creativity & innovations in governance.
So, probably Hon. Kilango deserved it. However, such summary dismissals will scare your subordinates (ministers and below) to a point of being Zombies instead being your linchpins in perfecting your governance.
Kama kuanzia mawaziri hadi vigogo wilayani watakuwa na mtera wakiogopa kisu chako cha majipu basi utawala utakuwia mgumu sana. Wasaidizi wako wataogopa kutoa maamuzi magumu (na pengine yenye hitlafu hapa na pale - i.e., not to your liking) wakichelea kuumbuliwa na bosi.
Mkuu wa ngazi ya juu akiteleza muite (au waziri wako amuite) chemba na kumpa karipio la kirafiki (faragha) halafu mtie moyo (encourage) aendelee kuthubutu makubwa zaidi.
Hii fukuza-fukuza hii utakuja jikuta uko peke yako kifikra katika awamu hii ya tano. Watanzania wengi wangependa urudi awamu ya sita na nina uhakika utarudi lakini tumia diplomasia sasa katika utawala wako.
Kila mtu sasa anajua kasi yako na nidhamu yako. Najua Rais you are not diplomatic in nature but you need diplomacy (in your rule) now more than ever. Unaweza kubaki na kasi hiyohiyo ulionayo bila kudhalilisha wasaidizi wako.
Ushauri kwako kama rafiki.
Kwa kweli kabisa.The difference between the genius and stupidity is that genius has its limit" Albert Einstein. Hakukuwa Na haja ya kumtukana jamaa.
Una maana gani kwamba wangependa arudi awamu ya sita? Hata akitawala miaka 23 kama ya Nyerere bado atakuwa ni rais wa awamu ya tano.You will stifle creativity & innovations in governance.
So, probably Hon. Kilango deserved it. However, such summary dismissals will scare your subordinates (ministers and below) to a point of being Zombies instead being your linchpins in perfecting your governance.
Kama kuanzia mawaziri hadi vigogo wilayani watakuwa na mtera wakiogopa kisu chako cha majipu basi utawala utakuwia mgumu sana. Wasaidizi wako wataogopa kutoa maamuzi magumu (na pengine yenye hitlafu hapa na pale - i.e., not to your liking) wakichelea kuumbuliwa na bosi.
Mkuu wa ngazi ya juu akiteleza muite (au waziri wako amuite) chemba na kumpa karipio la kirafiki (faragha) halafu mtie moyo (encourage) aendelee kuthubutu makubwa zaidi.
Hii fukuza-fukuza hii utakuja jikuta uko peke yako kifikra katika awamu hii ya tano. Watanzania wengi wangependa urudi awamu ya sita na nina uhakika utarudi lakini tumia diplomasia sasa katika utawala wako.
Kila mtu sasa anajua kasi yako na nidhamu yako. Najua Rais you are not diplomatic in nature but you need diplomacy (in your rule) now more than ever. Unaweza kubaki na kasi hiyohiyo ulionayo bila kudhalilisha wasaidizi wako.
Ushauri kwako kama rafiki.
You will stifle creativity & innovations in governance.

Ebwana, nakuunga mkono sana kwa hoja yako hii. Nina uhakika kabisa Mh. Rais ana nia njema sana na Nchi yetu na nina uhakika kwa kasi yake tutafika mbali sana; hata hivyo, mawazo yako haya uliyoyaandika hapa jamvini hakika ni ya msingi sana. Ninaamini ipo siku Mh. Rais atayafanyia kazi.You will stifle creativity & innovations in governance.
So, probably Hon. Kilango deserved it. However, such summary dismissals will scare your subordinates (ministers and below) to a point of being Zombies instead being your linchpins in perfecting your governance.
Kama kuanzia mawaziri hadi vigogo wilayani watakuwa na mtera wakiogopa kisu chako cha majipu basi utawala utakuwia mgumu sana. Wasaidizi wako wataogopa kutoa maamuzi magumu (na pengine yenye hitlafu hapa na pale - i.e., not to your liking) wakichelea kuumbuliwa na bosi.
Mkuu wa ngazi ya juu akiteleza muite (au waziri wako amuite) chemba na kumpa karipio la kirafiki (faragha) halafu mtie moyo (encourage) aendelee kuthubutu makubwa zaidi.
Hii fukuza-fukuza hii utakuja jikuta uko peke yako kifikra katika awamu hii ya tano. Watanzania wengi wangependa urudi awamu ya sita na nina uhakika utarudi lakini tumia diplomasia sasa katika utawala wako.
Kila mtu sasa anajua kasi yako na nidhamu yako. Najua Rais you are not diplomatic in nature but you need diplomacy (in your rule) now more than ever. Unaweza kubaki na kasi hiyohiyo ulionayo bila kudhalilisha wasaidizi wako.
Ushauri kwako kama rafiki.
I stand corrected.Una maana gani kwamba wangependa arudi awamu ya sita? Hata akitawala miaka 23 kama ya Nyerere bado atakuwa ni rais wa awamu ya tano.