Premio vs Allion

etum

Member
Feb 18, 2014
70
51
Habari za jioni wadau

Mwenye uzoefu wa magari haya naomba anidadavulie kidogo, lipi ni bora kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani nataka niagize toka Japan (the strengths and weaknesses of each vehicle)

Nawasilisha
 
chukua Allion Toyota, gari comfotable sana. mi ninayo a 15, mafuta haili kabsa..engine VVTI. nzito, inakimbia sana...hao wakina alteza wakasome namba. Allion inatako zuri sana.
premio nzuri wastani na kama unachukua premio usichukue yenye engine ya d4 chukua vvti.
 
Nashukuru sana mzee ila nackia premio ya 1.5L kwa upande wa fuel consumption iko vizuri ukilinganisha na allion
 
chukua Allion Toyota, gari comfotable sana. mi ninayo a 15, mafuta haili kabsa..engine VVTI. nzito, inakimbia sana...hao wakina alteza wakasome namba. Allion inatako zuri sana.
premio nzuri wastani na kama unachukua premio usichukue yenye engine ya d4 chukua vvti.
Why not D4?
 
Premio inafata likes za corona premio, allion imekuja kui takeover toyota carina hivyo mazuri yote ya corona utayapata kwenye premio na mazuri yote ya carina utayapata kwenye allion, suggestion yangu chukua premio its is more luxurious kwa ndani
 
Nimetumia premio FL package 1500cc...yaani mafuta inanusa afu inakimbia sana. Dar-Moshi mafuta ni nusu tank. Niliiuza kwa sababu niliua pump kama mara mbili inachelewa kuchanganya kwa kuwa nilikuwa naifoc speed maana masafa marefu. Sasa nina corolla axio CVT engine 1500cc 4wd hii ni balaa. Dah inatembea alafu mafuta inanusa tu hadi raha
 
Mkuu kama hujui kukaa kimya pia ni bora kuliko kupotosha,hakuna tofauti ya d4 na vvti..injini yaweza kuwa d4 na vvti lakin hakuna d4 isiyo vvti
 
Nimetumia premio FL package 1500cc...yaani mafuta inanusa afu inakimbia sana. Dar-Moshi mafuta ni nusu tank. Niliiuza kwa sababu niliua pump kama mara mbili inachelewa kuchanganya kwa kuwa nilikuwa naifoc speed maana masafa marefu. Sasa nina corolla axio CVT engine 1500cc 4wd hii ni balaa. Dah inatembea alafu mafuta inanusa tu hadi raha
Mkuu natamani tuongee unishauri hapo kwenye corolla
 
Nilichukua premio F 2005 1.5L cjawah juta uamuz wangu. Ni gari nzuri sana. Fuel consumption iko poa sana nadhan its like 15km/L urban and19 -20km/L highway. Very reliable car.
 
Premio inafata likes za corona premio, allion imekuja kui takeover toyota carina hivyo mazuri yote ya corona utayapata kwenye premio na mazuri yote ya carina utayapata kwenye allion, suggestion yangu chukua premio its is more luxurious kwa ndani
allion na premio ni kitu kimoja tofaut chache sana na kwa u luxury premio ndo namba one
 
Nimetumia premio FL package 1500cc...yaani mafuta inanusa afu inakimbia sana. Dar-Moshi mafuta ni nusu tank. Niliiuza kwa sababu niliua pump kama mara mbili inachelewa kuchanganya kwa kuwa nilikuwa naifoc speed maana masafa marefu. Sasa nina corolla axio CVT engine 1500cc 4wd hii ni balaa. Dah inatembea alafu mafuta inanusa tu hadi raha
Yeah ndio gari nzuri kwa zama za vyuma hizi. Ukijichanganya kubeba v8 unaeza ukalitupilia mbali kama kipato cha kuunga unga
 
Back
Top Bottom