golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
Umemanisha nn boss, yeye kataka Premiomkuu pesa hiyo c unapata hata range rover kali sana
Umemanisha nn boss, yeye kataka Premio
Mkuu asantemkuu pesa hiyo c unapata hata range rover kali sana
Wewe kama huna tuliasasa premio gani NEW MODEL utapata kwa 6.5mil?
Wewe kama huna tulia
Poasawa, ngoja nitulie kiongozi
Ina maana anatania,hawezi kupata new model kwa bei hiyo,labda pikipiki aina ya Yamaha cc 250 mpya.[emoji2] [emoji2]Umemanisha nn boss, yeye kataka Premio
Jumapili ya leo mbaya. Kwanini, kila mtu ana mipango yakeIna maana anatania,hawezi kupata new model kwa bei hiyo,labda pikipiki aina ya Yamaha cc 250 mpya.[emoji2] [emoji2]
Wakuu poleni na pilika pilika za jumapili,
Nahitaji premio new model, bali isiwe nyeupe
Namba C au D
Bajeti 6.8m
0716411720
Nawasilisha
Watu wamevurugwa kiaina.Walipanga mwisho wa mwaka huu wamiliki vitu vya nguvu lakini hela za short cut na njia za ujanja ujanja zimezibwa na gundi.Kilichobaki ni kujipa matumaini tu.[emoji1] [emoji1] [emoji1]Jumapili ya leo mbaya. Kwanini, kila mtu ana mipango yake
Acha utani. Hiyo ni bajeti, ila mazungumzo yapoHiyo premio itakua made in Chato wala sio bure
Unajua biashara ni mazungumzo. Inaweza ukawa bei juu ya hapo nikiridhia nachukuasasa premio gani NEW MODEL utapata kwa 6.5mil?
Acha kutania biashara za watu, hiyo bajeti yako unaweza kupata Bajaj Tvs au Passo.Unajua biashara ni mazungumzo. Inaweza ukawa bei juu ya hapo nikiridhia nachukua