Premier League could have no English managers - Sam Allardyce

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
2,020
1,261
Only three of this season's 20 Premier League clubs now have English bosses.

"We train our guys pretty well, we educate them very well, but they just need a chance," Allardyce told BBC Radio 5 live's Sportsweek.

"It always goes to what seems a sexier version than we are. That is, a foreign coach, which I think is a great shame."

Following the dismissals of Tim Sherwood and Steve McClaren at relegated Aston Villa and Newcastle respectively earlier in the season, plus Garry Monk at Swansea, Allardyce, Alan Pardew and Eddie Howe are the only current English managers in the top flight.

"It is not just us three English and I think six British in total, it's all the younger managers striving to get at this level, they have got no chance of getting there," Allardyce, 61, insisted.

"If you look across at the rest of Europe and see how many of their own they look after it's quite staggering compared to ourselves. We do not, in any way, shape or form look after our own."

In Italy's Serie A, 18 of the 20 teams have Italian coaches, with 14 of the 20 La Liga bosses Spanish and 11 of 18 in the Bundesliga coming from Germany.

"Every time a job becomes available nobody goes down to League One," said Allardyce, whose Sunderland team avoided relegation this term after securing 11 points from five matches in the closing stretch.

"None of the foreign coaches are trained or equipped any better than we are but unless we get the opportunity to get interviewed, which is rare now, particularly for young managers, a manager getting into the Premier League now that is English or British would have to do it via getting promoted through the Championship.

"Everyone is talking about Eddie Howe at the moment and rightly so but the only way he got to the Premier League was via Bournemouth, nobody went and plucked him out.

"The challenge of the foreign managers made us better over the years, there is no doubt about that, but the way it is going I can see no English manager in the Premier League and that could be very shortly as well."

It is not the first time Allardyce has spoken out about foreign coaches in the English game.

Source: Premier League could have no English managers - Sam Allardyce
 
....sikubaliani na huyu Allardyce,km ukisema young British managers hawapewi nafasi, watapewa vipi hiyo nafasi wakati kuna makocha wa kigeni ambao ni young km Pochettino,Kouman wameshaji establish na wanaaminiwa tayari.Tazama kazi anayoifanya Kouman Southampton,pamoja na kuwauza kina Shaw,Lallana, Schneiderlin,Clyne,Rickie Lambert, Dejan Lovren still bado ana fight nafsi za juu!, hiki ni kipaji halisi!
Mtu mwingine km Frank De Boer,nae ameshachukua ubingwa wa Holland akiwa na Ajax!, kwanini asipate timu England akitaka?!
...The truth is,waingereza hawana vipaji,mtu km McLaren ndio kaishusha daraja Newcastle pamoja na ukongwe wake!, watu km Tonny Pulis, Allardyce, na Pardew ni makocha wa viwango vya kawaida tu,wanaoweza zaidi kuiokoa timu isishuke daraja!, nothing else!
 
Makocha wa englend bado sana wengi wakipewa tim huwa wana struggle sana au wanashuka daraja kabsaa, inabid ma expert wawe wana wasaidia tuu kwa kweli
 
kwanini makocha wa kiingereza wasiende nje ya uingereza wakatafuta timu badala ya kukaa na kulalamika ukweli viwango vyao viko chini waangalie Ranieri alivyofanya kwa bajeti ndogo aliyokuwa nayo
 
Na ndio hao hao leo hii wanakaa kama pundits na columnists na kuwananga watu kama Wenger, LVG na Martinez yote hiyo ikiwa ni wivu kwa mameneja wageni.

Uingereza ina tatizo linalitwa "man management" na ni Roy Hodgson, na marehemu Bobby Robson wameweza kutatua tatizo hilo. Hiyo ni kwasababu hawa wawili wameishi nje ya Uingereza na kufundisha wachezaji tofautitofauti.

Hawa wawili wamefundisha nje ya Uingereza na Bobby amefundisha PSV, Porto, Barcelona na Sporting, na Hodgson amefundisha mpira nchini Switzeland, timu ya Inter, Udinese, Copenhagen na sehemu zingine nyingi tu nje ya Uingereza na hawa wawili pekee ndio wenye CVs za juu kabisa.

Waingereza wanapenda sana kuongea lakini hawana tactics wanapokutana na timu nzuri kama Italy au Spain.

Na huyu adui wa mwisho wa Wenger Gary Neville alipiga kelele na akapewa timu ya Valencia na timu hiyo inakuja kushinda baada ya mechi zaidi ya tano.

Mameneja wa kigeni wana hekima na wanafahamu namna ya kuwasiliana na wachezaji na hizi ni moja ya sifa kuu za kuwa meneja wa timu.

Claudio Ranieri, Ronald Koeman, Raphael Benitez, Arsene Wenger, Manuel Peregrilini na Jose Mourinho wana sifa hizo za kujua namna ya kuwasiliana na mchezaji.

Ila kwa kesi ya Mourinho ni tofauti kidogo kwa sababu yeye alianza kutoa mazoezi magumu kupita kiasi na kwa kuanza kuwafokea na kuwakaripia na wachezaji hawakupenda hiyo hivyo ikawa rahisi kwa John Terry kumueleza Abramovich kwamba inabidi Mourinho aondoke la sivyo wachezaji wangeishusha daraja timu.

Mpira ni falsafa, kanuni na ni kama maktaba na unapoitumia unatakiwa uiwakilishe kwa mchezaji katika lvel ingine ya juu.

Kwa mfano meneja anagundua kwamba mchezaji ananenepa na mwili wake unakuwa haukubali mazoezi magumu, itabidi azungumze na mchezaji na watafute namna ya kumsaidia mchezaji huyo hasa kwenye aina ya chakula anachokula mchezaji huyo.
 
Back
Top Bottom