PREFAB CABINS

PREFAB CABINS

Raphenry

Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
17
Reaction score
4
Jipatie ofisi inayohamishika mahali popote iliyotengenezwa kwa teknolojia ya kisasa kabisa wataalam wanaita sandwich panels. sandwich panel ni ukuta ambao haukisi joto wala baridi, kwa maana ingine inatumika kama insulator yani haiingizi joto wala baridi unapokuwa ndani ya ofisi yako.
Hii ni tofauti na container la kawaida kwa vile hili ni kubwa zaidi na hivyo kukupa nafasi kubwa ya kuweza kufanya mambo yako. pia hili linaweza kuongezeka size yoyote unayohitaji mbali na ile ya container kwamba wanasema ni fixed size.
Kifupi ni kwamba container standard size ni 2.4meters x5.9metets.
Hii cabin inakuja kwa ukubwa wa 3meters x 6 meters ila kuna uwezekano wa kuliongeza zaidi kwa vile tunazo hadi 3meters x 7meters, 4meters x 8meters.

mbali na hapo inakuja ikiwa fully contained, yani inakuwa imejitosheleza humo ndani kuna kuwa na choo, jiko, bafu na sehemu ya ofisi au ya kulala.

Bei zake zinategemea na ukubwa pamoja na vitu unavyohitaji humo ndani. Hivyo basi wasiliana nami kwa namba ya simu ambayo ipo kwenye hio video hapo ila pia nakushauri uangalie hiyo video fupi hapo nmeweka link ili uweze kuelewa naongelea kitu cha namna gani.
+255766521993
bonyeza hio link

 

Attachments

  • DSC_0001.JPG
    DSC_0001.JPG
    84.3 KB · Views: 45
  • DSC_0036 (2).JPG
    DSC_0036 (2).JPG
    94.8 KB · Views: 46
  • DSC_0024 (2).JPG
    DSC_0024 (2).JPG
    207.9 KB · Views: 40
Bei gani hii kitu mkuu? Nafikiri itakuwa poa japo aujaelezea usalama wake kwa ulinzi wa mali zako humo ndami
 
Bei gani hii kitu mkuu? Nafikiri itakuwa poa japo aujaelezea usalama wake kwa ulinzi wa mali zako humo ndami
bei yake inategemea na ukubwa pamoja na vitu unavyohitaji humo ndani. kwa maana hio inaweza kuwa na choo, jiko, bafu pamoja na sehemu ya chumba cha kulala na sebule. Kuhusu swala la usalama, iko salama kwavile ni chuma zilizochomelewa pamoja na kuunganishwa na insulator ambyo pia ni chuma katikati ndo kuna insulator. Kwa maswal zaidi wasiliana nami kupitia namba yangu hapo juu
 
Back
Top Bottom