Precisionair Vacancy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Precisionair Vacancy

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Belo, Nov 10, 2009.

 1. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,265
  Likes Received: 4,238
  Trophy Points: 280
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kazi zimetulia wadau changamkieni
   
 3. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  mfukunyuzi unajitahidi sana kutupa mambo mapya, hivyo hivyo kaka,
   
 4. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2009
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
 5. P

  Positive Thinker Senior Member

  #5
  Nov 10, 2009
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kaka hizi zipo ni current tazama gazeti la leo the gurdian
   
 6. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Tatizo la hao watu ni moja Kuna watu wana Qualification zingine hazi toshi laki kazi wanaiweze angalia IT wengi kama wanajua Oracle Database ni mashirika mangapi yanatumia iyo System ya Oracle Database.

  Yaaani ukiangalia watu wanaotoa matangazo ya kazi utacheka kweli mfano wana mtaka Accountant mwenye CPA hebu niwaulize, Institute Of Accountant nchi kwetu wengi wao ni Advance Diploma in Accounts, Post Graduate CPA ni yakuhesabu humu nchi ila kazi zilivyotapakaaaa kwa magazeti zahitaji wenye CPA teh teh inashangaza sana.

  CPA yenyewe wahasibu wetu wanavyo ipigia story kuwa huwa wengi wanakamatwa na kuifanikisha iyo either uache kazi ukasome na huku mfadhili huna jamani. Same to IT mtu ana degree ati mpeleke kazini akakutane na mtu ana Advance deploma ya IT anamtoa jasho mwene hito Degree yake hajui kictu na vyou vinavyotoa IT Courses vyakuhesabu Centers za kufanyia mitihani ya Microsoft zenywe ziko Dar tu jamani hapotunajiangamiza au kudanganyana na huko mikoani kama mwanza mbeya Kigoma hata kama kuna kazi na mtu ana degree haendi uta mkuta mtu ana Advance deploma ya IT wakati kazi ilimtaka mtu wa Degreeee
   
 7. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2009
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Napata wasiwasi na ufahamu wako wa juu dunia inayokwenda!!!!
   
 8. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mzee wa vitendo,

  Nilicho kiandika hapo juu nakielewa fika na wala usiwe na wasi wasi na ufahamu wangu mkuu,Nilichokieleza hapo ni kwa ufupi sanaaa wala sikutaka kuingia ndani zaidi na kutoa facts,

  Zunguka mjomba utabaini.
   
 9. K

  Komavu Senior Member

  #9
  Nov 11, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35


  Ndugu,

  Kwahiyo ukiona matangazo ya kazi wanataka mtu mwenye proffesional walizotaja na kama unazo baadhi nyingine huna huombi kazi?

  Lazima wa aim kwenye proffesional wanayotaka, ila normally wanaoomba ni
  pamaoja na wale wasio na hiyo unayotaka, then interview ita decide.

  Wataalam wengi wa IT hawana hayo madegree ila ndo wamejaa
  kwenye mikazi kibao, wapo fiti na wanapiga nyanga kwelikweli.
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  tehe tehe man mentality mbaya sana hiyo......IT is all about development dude sio uwe na masters li degree lako lakini huwezi ku deliver mambo.....ninachojua kwa TZ kuna mambo kibao kwenye sekta ya IT ni useless katika IT.....
  Yah man sikuwa nimeiona hii.....kuna jamaa ana OCP DBA hana pa kuifanyia kazi sana sana ana istall antivirus na kufanya kaz ndogo ndogo ambazo sio level yake......
   
 11. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2009
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  One has to adopt to the local IT industry.
  kama wewe ni Oracle certified, basi inamaanisha you know SQL. Therefore you should market yourself accordingly.

  If I was the hiring manager and I see you have a certification, then to me it means two things:

  1. If the certification has a direct bearing on the advertised job, then I can put you to work with minimum training.

  2. If the certification is an important qualification in the IT industry but not directly relevant to the job at hand, then I will consider the candidate a person who can be easily trained.

  So either way, the candidate wins. Flexibility and adaptability is what will make you marketable in any industry, and not just IT.

  My 2 mkwanjas
   
Loading...