kyanaKyoMuhaya
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,952
- 939
Nipo airport, wametubeba walipotutoa, tumefika tumepanga foleni ya ku check in, nilikuwa mtu kama wa 10 hivi, wanabaki watu wawili, tunaambiwa, tusubiri na hawataki kutuambia tuaondoka saa ngapi kwani muda wa ndege yetukuondoka unakaribia, wanaita watu wa Nairobi. Baadae wanatuarifu Jamani ndege imejaa, kuna ndege ilikuwa cancelled asubuhi, ndio tunajazia jazia. Foolish airline. Nimenuna hapa nilipo nataka na kupasuka wa kupigana nae simuoni. Bahati yao ndege ya Fast Jet ni ya usiku.