I was very skeptical kununua share zao mwaka jana walipotangaza IPO yao ambayo ili-end-up kuwa undersubscribed. Hii tayari ilikuwa ni red light kuwa mambo mle ndani si mazuri. Yes ni watanzania entrepreneurs, lakini tatizo la entrepreneurs wa Kibongo wengi si entrepreneurs halisi bali surrogates wa wanasiasa.
Hii inafanya biashara nyingi unazoziona ziking'ara zinakuwa si biashara halisi. Kunakuwa na fedha chafu kutokea kwenye mfumo wa siasa zinazoingia huko. Siasa hazitabiriki na ni kama weather, mambo huharibika saa yoyote ile. Nadhani ndo maana investors walikuwa very cautious kuweka fedha zao mle. Kwa wale walioweka mle poleni, mambo ya NICOL yatajirudia humo!