Ushindani mkali!
Kwanza
Boeing zimekamatwa,JNIA ziko grounded mpaka zilipe pesa nyingi tu. watoa huduma wote ikiwapo wakodisha ndege pamoja na huduma zingine na ndege nyingi zilisongiziwa kua mpya zote zinadaiwa na mabenki. Route nyingi zimeshasisitishwa Comoro inasuasua,kigoma chali,arusha bye bye.
This is scary........wahaya tutaendaje bukoba bila plesisheni?
Ndege za kamatwa na kushindwa kuruka madeni,kioko awakimbia awaacha katika hali taabani. Wafanyakazi walipwa nusu mshahara,waanza kupunguza route,wameshidwa kutoa huduma nafuu kwa wananchi. Wajaribu kuididimiza fastjet lakini wakwama,kiasi kwamba wadaiwa kila kona madeni yasiyo lipika. Wapo katika hatua ya kujikabidhi serikalini na walijaribu kuihujumu na kuisumbua air tanzania,hapo awali kwa mafanikio ya kutosha. Sasa wakwama kuihujumu fastjet na fastjet yaendelea kupaa kwakuwapatia watanzania huduma bora na zenye bei nafuu.
Handsome Boy huku anahusikaje tena.Jeikei anaua nchi kampuni nyingi sasa zipo ICU zinaemea pua moja sio P.A nyingi tu zipo tahabani.
Kwani si ilianzishwa kwa fedha waliyokwapua kina Mramba na Yona serikalini kwa lengo la kuiua Air Tanzania?Amerudi zake Kenya huyo jamaa.
Aisee Precision ni kimeo balaa juzi kutoka Mwanza safari ya saa saba mchana iliondoka saa nne usiku!!!!
Bora ije Fastjet nyingine ushindani uongezeke na hii Precision ife kabisa!
Mkuu huyo jamaa ana usongo na Precision, mbona huduma zao poa tu na ushindani si kitu kibaya ni jambo la kawaida kabisa.Mimi nimepanda ndrge hizo over the week end na sikuona alichokiongelea huyu jamaa.Habari haijatulia. Ndege zimekamatwa wapi? Wanadaiwa na nani? Ruti gani zimepunguzwa?
nna hisa kibao hapo precision wasiniue kwa presha jamani
Zipo Auric Air Mwanza-BKB yaani ni daily flights.This is scary........wahaya tutaendaje bukoba bila plesisheni?
Ndege za kamatwa na kushindwa kuruka madeni,kioko awakimbia awaacha katika hali taabani. Wafanyakazi walipwa nusu mshahara,waanza kupunguza route,wameshidwa kutoa huduma nafuu kwa wananchi. Wajaribu kuididimiza fastjet lakini wakwama,kiasi kwamba wadaiwa kila kona madeni yasiyo lipika. Wapo katika hatua ya kujikabidhi serikalini na walijaribu kuihujumu na kuisumbua air tanzania,hapo awali kwa mafanikio ya kutosha. Sasa wakwama kuihujumu fastjet na fastjet yaendelea kupaa kwakuwapatia watanzania huduma bora na zenye bei nafuu.
Vp ndugu yangu unataka kuniliza!maana katika biashara inayoniuma roho nchi hii ni hii ya umeme!peke yao ,hawana mpinzani ,wateja kibao, bei wanajipangia,wateja lazima watumie na lazima walipe tena wakichelewa na penalti juu,wateja wengine wana lalamika bidhaa haitoshi yaani soko pana kuliko maelezo kama sisimizi na uwanja wa mpira-lakini mwisho wa siku wanadai LOSS!hii story siielewi kama ambavyo sielewi ni kwa nini TANESCO wana record loss ilhali ni wenyewe wanao uza umeme tanzania! I cant understand.