Precision air boeing 737-300 grounded in nairobi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Precision air boeing 737-300 grounded in nairobi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Risk taker, Feb 2, 2009.

 1. R

  Risk taker Member

  #1
  Feb 2, 2009
  Joined: Jan 20, 2009
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndege ya Precision air Boeing 737-300 ina hitilafu na hairuhusiwi kuruka kwa siku sita sasa.Kufuatia pigo hilo, precision wamekuwa wakihaha kuhusu safari zake za Nairobi na Mwanza ambazo zilikuwa zinafanywa na ndege hiyo
   
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Jamani hiyo si ndio ile ndege yao ilipata hitilafu kipindi fulani, i think it was Nov 08 na tukaijadili sana hapa.......plse anae ikumbuka ile thread aturudishie hapa (mods hopefully)...! Hiyo ndege, ilikodiwa China? au nyingine? Yule mfanyakazi wa Precision.....plse clarifications (nimemsahu ID yake)!
   
Loading...