Precious Kibaha Sec

Cosmasjulius

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2018
Posts
695
Reaction score
1,014
Nimeanzisha huu uzii ilii wale tuliopita na kusomaa kibaha secondary kwa miaka tofauti tuweze kufahamiana na kukumbushana nyakati na matukio tofauti yaliyopata kutokea enzi hizoo tupoo kibaha Secondary...!! Lakini has a zaidi tupate kujuana vizuri na kusaidiana juu ya mambo mbali mbali ya kimaisha..Pia HONGERAA Sana kwa vijana waliomaliza Form six mwaka huu 2018 hakika mumeitenda Kazii..

Live Long Kibaha sec...[HASHTAG]#welcome[/HASHTAG]
 
Kibaha sec
Ifakara sec
Kibiti sec &
Kilosa sec kuna kitu flan cha tofaut kwenye hz shule , anayejua anyooshe kidole nimpe pipi
 
Nakumbuka head master mmoja alikuwa anatwambia wanafunzi tunavuta kulebi na kula bangi haha precious kibaha nakumbuka mkichoka kupiga misuli mnaenda mwana lugaliiiiiiiiiiiii hongera kwao vijana
 
Nakumbuka head master mmoja alikuwa anatwambia wanafunzi tunavuta kulebi na kula bangi haha precious kibaha nakumbuka mkichoka kupiga misuli mnaenda mwana lugaliiiiiiiiiiiii hongera kwao vijana
Hahahaha mzee Kayenga huyoo..dah
 
Kuna ticha mmoja anaitwa Cash-baba, mngese sana yule jamaa.....ila nmemiss mihogo ya mwanalugali na yule mama nyandingo
 
Kuna ticha mmoja anaitwa Cash-baba, mngese sana yule jamaa.....ila nmemiss mihogo ya mwanalugali na yule mama nyandingo
Nilimkimbia bwenini kwake hahaaaaa kaselenge hivi mnamkumbuka
 
cash dingi katuamshaa Sana na honii za gari lakes kufanya usafiii....
 
Nakumbuka head master mmoja alikuwa anatwambia wanafunzi tunavuta kulebi na kula bangi haha precious kibaha nakumbuka mkichoka kupiga misuli mnaenda mwana lugaliiiiiiiiiiiii hongera kwao vijana
Mwanalugali kulaa mihogoo siku ya ugali hasaa
 
Ngoja tuwaachie nyie wa vipaji maalumu!

Nakumbuka miaka hiyo bro alivochaguliwa kwenda kibaha stori zilienea karibu wilaya nzima
kumbe kaka yko ndo yule fund viatu maaruf .... au story zafanana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…