Pre export inspection, kwa uhalisia haina maana yoyote. Kwa sababu kama gari litakuwa na hitilafu hiyo pre export inspection haisaii lolote zaidi ya kula hizo dola zako 300 kama sikosei, isipokuwa ni lazima kwa kukidhi import regulations za inchi yetu maana kuna mawakala wa tbs huko Japan na inchi nyingine wanapouza magari. Na usipo fanya utapigwa fine asilimia flani hivi ya FOB! Kuhusu insurance nadhani umuhimu wake unaufahamu, ila sijajua meli ikizama sijui una claim wapi? Hahahah wajuzi watujuze...