Walianza wenyewe Kwa kulekodi video wakikata nyeti za askali wa UkraineTuwekeni ushabiki pembeni.
Yalioko kwenye uwanja wa mapambano yanatisha.
Askari wa Russia wanaokamatwa katika uwanja wa mapambano wanafanyiwa unyama wa hali ya juu, tunaiomba Ukraine irudishe moyo nyuma kwani hao nao ni binadamu wenzao pia.
Picha na video nimeshindwa hata kuziangalia mara mbili neno ubinadamu katika jeshi la ukraine wameliondoa kabisa, Ukraine haina muda tena na mateka ndo mana huskii idadi ya wanaotekwa
yaani hadi unaona watu wazima wanaacha silaha wanavua gwanda wanakimbia jua hali ni mbaya.
Askari wa Russia wanachofanyiwa sote tuungane tuache upro usio na maana ni unyama wa hali ya juu tulaani kwa sauti moja.
Tunaomba Marekani, NATO na Dunia kwa ujumla kuingilia kati tena kwa upya. Ukraine wanawafanyia unyama wa Kutisha askar wa Russia. kwa kuangalia picha na video ambazo baadhi zipo humuhumu binafsi ninaona hata aibu kujiita binadamu mbele ya Viumbe wengine.
Tuombee majeshi ya Russia watoroke kwa amani, video na picha nmeshindwa kuzipost sababu ni mbaya kwakwel nafsi inanisuta hata kuwaonesha.
Hata kama ni vita hiii ni too much.
Na Putin anajua kuwa hapambani na ukraine peke yake?.Russia hapambani na askari wa Ukraine sa hv hlo Kwanza unatakiwa ulitambue , mda wake wa honeymoon na askari wa Ukraine ulishaisha.... Sa hv ni mda wa kupokea adhabu
Unaongea ushuziTuwekeni ushabiki pembeni.
Yalioko kwenye uwanja wa mapambano yanatisha.
Askari wa Russia wanaokamatwa katika uwanja wa mapambano wanafanyiwa unyama wa hali ya juu, tunaiomba Ukraine irudishe moyo nyuma kwani hao nao ni binadamu wenzao pia.
Picha na video nimeshindwa hata kuziangalia mara mbili neno ubinadamu katika jeshi la ukraine wameliondoa kabisa, Ukraine haina muda tena na mateka ndo mana huskii idadi ya wanaotekwa
yaani hadi unaona watu wazima wanaacha silaha wanavua gwanda wanakimbia jua hali ni mbaya.
Askari wa Russia wanachofanyiwa sote tuungane tuache upro usio na maana ni unyama wa hali ya juu tulaani kwa sauti moja.
Tunaomba Marekani, NATO na Dunia kwa ujumla kuingilia kati tena kwa upya. Ukraine wanawafanyia unyama wa Kutisha askar wa Russia. kwa kuangalia picha na video ambazo baadhi zipo humuhumu binafsi ninaona hata aibu kujiita binadamu mbele ya Viumbe wengine.
Tuombee majeshi ya Russia watoroke kwa amani, video na picha nmeshindwa kuzipost sababu ni mbaya kwakwel nafsi inanisuta hata kuwaonesha.
Hata kama ni vita hiii ni too much.
Tuwekeni ushabiki pembeni.

Source ya habari yako ni ipi?!Ukrein hali ni mbaya sana, alhamis na ijumaa kwenye hiyo counter offensive waliuwawa askari 4000 na tangu jmosi hadi Jana j4 kila siku wanakufa Askari wa Ukrein sio chini ya 800 kila siku. Hizo km 6000 wamekomboa kwa damu nyingi sana.
Rusia tangu opareshen ianze amechukua square km 114000.
Hizo sq km 6000 zitarudi na zaidi ndio maana sasa Marekani kaamua kujiingiza mzima mzima na huu ndio mwisho wa utawala wa west. Marekani Wamechanganyikiwa na hawataki kuamini.
Tukae kwa utulivu, huu mziki unapoelekea ni balaa.
Sasa ni zamu ya Afrika kupokea wakimbizi toka ulaya.
Amekutana na NATO na MarekaniPutin alitaadharishwa mapema sasa amekutana UKRAINE MTU KAZI
Urusi anafanya masihara wenzake wanafanya kweli
Nalog off Z
Wakati Putin anajifungia moscow Raisi wa Ukraine anatembelea frontlineUkrein hali ni mbaya sana, alhamis na ijumaa kwenye hiyo counter offensive waliuwawa askari 4000 na tangu jmosi hadi Jana j4 kila siku wanakufa Askari wa Ukrein sio chini ya 800 kila siku. Hizo km 6000 wamekomboa kwa damu nyingi sana.
Rusia tangu opareshen ianze amechukua square km 114000.
Hizo sq km 6000 zitarudi na zaidi ndio maana sasa Marekani kaamua kujiingiza mzima mzima na huu ndio mwisho wa utawala wa west. Marekani Wamechanganyikiwa na hawataki kuamini.
Tukae kwa utulivu, huu mziki unapoelekea ni balaa.
Sasa ni zamu ya Afrika kupokea wakimbizi toka ulaya.
Kijana nimekukubali sana, ulivyopost
Acha uongo, tangu OP imeanza Putin kaenda China, na kesho yupo kwenye mkutano nje ya RusiaWakati Putin anajifungia moscow Raisi wa Ukraine anatembelea frontlineView attachment 2356681View attachment 2356682
Niko kwenye kundi la Wazee sasaKijana nimekukubali sana, ulivyopost
Hahaha hahaha
Hiyo VIDEO iko wapi sasa kusupport haya uliyoyaandika?Tuwekeni ushabiki pembeni.
Yalioko kwenye uwanja wa mapambano yanatisha.
Askari wa Russia wanaokamatwa katika uwanja wa mapambano wanafanyiwa unyama wa hali ya juu, tunaiomba Ukraine irudishe moyo nyuma kwani hao nao ni binadamu wenzao pia.
Picha na video nimeshindwa hata kuziangalia mara mbili neno ubinadamu katika jeshi la ukraine wameliondoa kabisa, Ukraine haina muda tena na mateka ndo mana huskii idadi ya wanaotekwa
yaani hadi unaona watu wazima wanaacha silaha wanavua gwanda wanakimbia jua hali ni mbaya.
Askari wa Russia wanachofanyiwa sote tuungane tuache upro usio na maana ni unyama wa hali ya juu tulaani kwa sauti moja.
Tunaomba Marekani, NATO na Dunia kwa ujumla kuingilia kati tena kwa upya. Ukraine wanawafanyia unyama wa Kutisha askar wa Russia. kwa kuangalia picha na video ambazo baadhi zipo humuhumu binafsi ninaona hata aibu kujiita binadamu mbele ya Viumbe wengine.
Tuombee majeshi ya Russia watoroke kwa amani, video na picha nmeshindwa kuzipost sababu ni mbaya kwakwel nafsi inanisuta hata kuwaonesha.
waamdish wa habari wamezuiwa kwa muda kuingia maeneo yenye counteroffensive ya Ukraine. maana wsione jinsi ukraine inawafanyia askar wa russia ambao wangeweza kuwafanya mateka lakin badala yake ni michinjo tu.
maeneo mengine imebid askar wa Russia kujichanganya na Raia kwa kuvua geanda.
Hata kama ni vita hiii ni too much.
UKRAINE. rudisha moyo nyuma baba.
kusamehe ni ibada.
Wakati huo huo, Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz alimtaka Rais wa Urusi Vladimir Putin kuingia tena kwenye meza ya mazungumzo na Ukraine haraka iwezekanavyo wakati wa mazungumzo ya simu ya dakika 90 siku ya Jumanne.
hivi tunavyooongea UKRAINE wanabisha hodi DONBAS.
Unyama walioufanya Warusi kwa kuivamia Ukraine wanastahili kufutika kabisa kwenye uso wa dunia na sio kufanyiwa unyama tu.Ukraine Irudishe Moyo Nyuma. Ubinadamu Ni muhimu sana
Nipo kiongozi nazifuatilia kwa makini nyendo za waukrainehahahahaha we jamaaa upo kumbe?