Pray for Russia, tuache ushabiki

Russia hapambani na askari wa Ukraine sa hv hlo Kwanza unatakiwa ulitambue , mda wake wa honeymoon na askari wa Ukraine ulishaisha.... Sa hv ni mda wa kupokea adhabu
 
Wewe tuma izo picha, wala hatuwaonii huruma hawa nguruwe Russia. G7 huwa ni wadudu sana, kwy mishe za akili. Uwezi pambana na G7 ukatoka salama hata wazungu na wachina wanalijua ilo ndio maana wanakaa meza na kuweka mambo salama bila mkono wa Vita
 
Russia hapambani na askari wa Ukraine sa hv hlo Kwanza unatakiwa ulitambue , mda wake wa honeymoon na askari wa Ukraine ulishaisha.... Sa hv ni mda wa kupokea adhabu
Wakati wameliwa 10,000 Ukrainians kwenye hiyo counter offensive!
 
Wangewakamata wakawaleta wakawa wanawatupa kwy mito yetu yenye mamba. Na mamba wetu wapate Radha ya Kula nyama ya wazungu
 
Wewe tuma izo picha, wala hatuwaonii huruma hawa nguruwe Russia. G7 huwa ni wadudu sana, kwy mishe za akili. Uwezi pambana na G7 ukatoka salama hata wazungu na wachina wanalijua ilo ndio maana wanakaa meza na kuweka mambo salama bila mkono wa Vita
Kumbe Russia sio wa mchezo aisee!
 
Ukivamia watu makwao ukubali hata wakikukatakata. Waliyataka wenyewe acha wayapate wenyewe
 
Umeshiba kande zako huko mbwinde,unaleta huruma zako huku jf....
Hao watu hawatupendi weusi,acha wamalizane si tuendelee na tozo.
 
Tuombee majeshi ya Russia watoroke kwa amani, video na picha nmeshindwa kuzipost sababu ni mbaya kwakwel nafsi inanisuta hata kuwaonesha.

Hata kama ni vita hiii ni too much.
Kwahiyo unawaonea huruma Rusia walioanzisha vita?; kwahiyo uovu unaofanywa na Rusia dhidi ya Raia wa Ukraine huna habari nao?, Kwahiyo huna habari kuwa wanajeshi wa Rusia wanaaiba mpaka watoto wachanga wa Ukraine?, kwahiyo huna taarifa ya kuwa ndani ya magereza ya Urusi yanayohifadhi wa Ukraine wami mpaka wajawazito wa Ukraine; kwahiyo huna taarifa kuwa mateka wa Ukraine walioko Rusia wana DOZI maalum ta kipigo kila siku?: Mimi na uzee huu sina guts za ku-side upande wowote kwakuwa nimefunzwa kuukataa uovu wa aina yoyote
 

Kama hiyo kweli basi hizo ni mbinu moja wapo ya kivita yenye lengo la kumtisha adui wako - kumbukeni waasi wa Syria (ISIS na Daesh) walikuwa wanafanya matendo kama hayo hayo, wanakata shingo askali wa Syria wanakunywa damu au kujifanya wanakunywa damu,wananyofoa organs za ndani ya mwili mfano:maini,moyo,mapafu na kidneys - niliwahi kuona jamaa anatoa moyo na kuula raw -ushetani husio na mfanowe!! sasa naona ushetani kama huo unajirudia tena Ukraine, swali ni ,je,nani kawafundisha unyama huu.

Nimalizie kwa kusema kwamba jeshi la Ukraine aliwezi kufanya unyama huu bila ya kuomba ushauri kutoka kwa maafisa wa kijeshi wa NATO/US likumbukeni sana hilo.

Kisaikolojia vitendo hivyo vya kinyama vina lengo moja tu nalo ni kujaribu kuwatisha wanajeshi wa Urusi ili wasiendelee kupigana - Zelensky na wafadhili wake wakuu wanajua uwezekano wa wao kuishinda Urusi kivita haupo kabisa, licha ya jeshi la Ukraine ku-attempt mara lukuki katika operation zao za kutaka kutekeleza counter offensive bila mafanikio.

Ngoja tujiulize swali dogo: mpaka sasa takwimu zinaonyesha wanajeshi wa Ukraine wameuwawa kwa wingi sana, hata Zelensky mwenye kakiri ukweli huu, sasa swali: je, hawa wanajeshi wanao pigana kwa wingi kwenye war fronts nyingi tu wanatoka/walipatikana kutoka wapi, na kusema kweli ni wengi kwa idadi kulinganisha na wanajeshi wa Urusi na wana mgambo wa jimbo la Luhansk na Donetky - sasa hii inaleta picha gani? ni wazi majeshi ya NATO yamekwisha jiingiza kwenye mgororo huu indirectly, haiingia akilini kwamba idadi ya wanajeshi wa Ukraine wanao uwawa vitani bado Ukraine ingekuwa na uwezo mkubwa wa ku-spring up a very large scale counter offesive, haiwezakani!! I might be wrong lakini mimi hicho ndicho ninacho kiona - na Russia ikigundua kwamba NATO anatoa wanajeshi kisiri siri kumsaidia Zelensky mambo yatakuwa mabaya zaidi na si ajabu Dunia ikajikuta inaiingia kwenye WW3 kutokana na ujinga wa wana siasa wakatiri na wapenda ku-dominate Dunia kinguvu - sisi cha kufanya ni kuendelea kumuomba Mungu kwamba hilo lisitokee, hatuna jinsi.
 
URUSI IPI INAYOTAKIWA KUTETEWA?

Accounts of Russian torture emerge in liberated Ukraine​

Yesterday 11:26 PM

In north-eastern Ukraine, a counter-offensive has seen the nation's forces recapture swathes of territory, and drive out Russian troops.

Artem says he was held by Russians in a police cell for more than 40 days, and was electrocuted© BBC
But in the newly-liberated areas, relief and sorrow are intertwined - as accounts emerge of torture and killings during the long months of Russian occupation.
Artem, who lives in the city of Balakliya in the Kharkiv province told the BBC he was held by Russians for more than 40 days, and was tortured with electrocution.


Balakliya was liberated on 8 September after being occupied for more than six months. The epicentre of the brutality was the city's police station, which Russian forces used as their headquarters.
Artem said he could hear screams of pain and terror coming from other cells.
The occupiers made sure the cries could be heard, he said, by turning off the building's noisy ventilation system.
"They turned it off so everyone could hear how people scream when they are shocked with electricity," he told us. "They did this to some of the prisoners every other day... They even did this to the women".
And they did it to Artem, though in his case only once.
"They made me hold two wires," he said.
"There was an electric generator. The faster it went, the higher the voltage. They said, 'if you let it go, you are finished'. Then they started asking questions. They said I was lying, and they started spinning it even more and the voltage increased."
Artem told us he was detained because the Russians found a picture of his brother, a soldier, in uniform. Another man from Balakliya was held for 25 days because he had the Ukrainian flag, Artem said.
A school principal called Tatiana told us she was held in the police station for three days and also heard screams from other cells.
We visited the police station, and saw the Lord's Prayer scratched on the wall of one of the cramped cells, alongside markings to indicate how many days had passed.
Ukrainian police officers say as many as eight men were held in cells intended for two people. They say locals were scared to even pass the station when the Russians were in charge, in case they were grabbed by Russian soldiers.


Destroyed military vehicles abandoned by Russian forces line the roads of Balakliya© Getty Images
In Balakliya's city centre, where the Ukrainian flag flies again, crowds gathered around a small truck carrying food supplies. Many in the queue were elderly and looked exhausted, but there were happy reunions too as friends embraced each other for the first time since the Russians were driven out.
Just a short walk away at the end of a lonely laneway, some of their victims lie hastily buried by their neighbours. A crude wooden cross marked the makeshift grave of a taxi driver called Petro Shepel. His passenger - whose identity is still unknown - lies next to him.
The stench of death filled the air as the police exhumed their remains, and zipped them into body bags.
The authorities say the two men were shot near a Russian checkpoint on the last day of the occupation.
Petro's mother, Valentina, looked on as the bodies were exhumed, and she railed against the Russians who killed her only son.
"I want to ask Putin, why did he shoot and kill my son?" she cried.
"What for? Who asked him to come here with such threatening weapons? Not only did he kill our children, but he killed us, their mothers.
"These days I am a dead woman. And I want to address all mothers of the world: rebel against that assassin."
On the road to Balakliya, we saw military vehicles marked with the pro-war "Z" symbol - apparently abandoned by the Russians as they fled.
In a nearby village, we were shown the extensive damage to the school. Local authorities said this was one of the last acts of destruction before the Russians were driven out.
Standing in the ruins, the regional governor of Kharkiv, Oleh Synehubov, said the critical task now was to restore water and electricity supplies, but there are concerns the power lines could be mined.
Asked by the BBC if he thought the Russians could return he replied: "We are in war, there is always danger".
In the centre of Balakliya - where the blue and yellow Ukrainian flag is flying - crowds gathered around a small truck carrying food supplies. Many in the queue were elderly, and looked exhausted.
But there were happy reunions, too, as local people came together again - friends embracing each other for the first time since the Russians were driven out.


Accounts of Russian torture emerge in liberated Ukraine© BBC

War in Ukraine: More coverage​

 

Attachments

  • 1663150281664.png
    68 bytes · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…