MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
prado landcruiser ya mwaka 2012 imetembea kilomita 8800 Ni petrol Bei yake milioni 170 nicheki tuongee biashara 0786242495
prado landcruiser ya mwaka 2012 imetembea kilomita 8800 Ni petrol Bei yake milioni 170 nicheki tuongee biashara 0786242495
Milioni 170?
parefu. Vipi kuhusu toyota fortuner, abmayo gharama yake, mpya kabisa, ni tzs 60 m ?
milioni 170?
ni kama hii.......cif peke yake ni tzs 72,000,000 nadhani difference ya tzs 98,000,000 itakuwa kodi na faida kwa muuzaji!
![]()
dah tatzo mkuu cm yangu imegoma ku upload hii yangu ina bomba nne toka kwenye mashine tv katkat leathrseat
TV inaumuhimu gani wakati unaendesha gari? Nadhani Radio ni bora kuliko TV.
Parefu. Vipi kuhusu Toyota Fortuner, ambayo gharama yake, mpya kabisa, ni TZS 60 M ?
Ni kama hii.......CIF peke yake ni TZS 72,000,000 nadhani difference ya TZS 98,000,000 itakuwa kodi na faida kwa muuzaji!
![]()
Wenye uzoefu wa mambo ya magari, kuna tofauti gani kitaalamu kati ya Prado inayotumia Petrol and Diesel?
mzigo uko vizuri...
![]()
....Yeah?
Yep! Between 50 - 73 M TZS.
Kampuni gani hapa Tanzania wanauza bei rahisi kiasi hicho? BRAND NEW?!
very cheap hauna ya bei kaa milioni 350 hivi?