VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 3,137
- 2,267
sijajua kama hiyo gari uliinunua kwa matumizi yako tu alafu ukaamua kuiuza au ndio unayo magari mengi ya bei hiyo!
kama ndio umeamua kuwa mfanyabiashara wa magari ya bei hiyo ni bora ukafikiria mara mbili sababu watanzania walio wengi wana uwezo wa kununua magari ya chini ya milioni ishirini.
ni mawazo tu, ni mtazamo tu, kilalaheri mkuu