John champhene
Member
- Mar 16, 2013
- 31
- 4
Hii habari ni kichit chat au kweli??? Kama ni hivyo ni uzembe uliokithiri.
alilitafuta chini ya uvungu!?Mkuu, watu huwa wana take risk za ajabu.Kuna jamaa mwingine juzi kati nae kaibowa gari guest house. Kaingia na malaya sijui wametoana TipTop, wakanywa biya bar kwanza, then wakaingia kwa chumba mida ya saa tano asubuhi. Demu akatoka mida ya saa saba hivi, akasepa na gari. Jamaa ameenda kushtuliwa na muudumu saa 11jioni baada ya kuona huyu vipi, mbona hatoki.Jamaa alivyotoka mbona alitafuta gari chini ya uvungu wa kitanda cha guest.
Mkuu, watu huwa wana take risk za ajabu.
Kuna jamaa mwingine juzi kati nae kaibowa gari guest house.
Kaingia na malaya sijui wametoana TipTop, wakanywa biya bar kwanza, then wakaingia kwa chumba mida ya saa tano asubuhi. Demu akatoka mida ya saa saba hivi, akasepa na gari. Jamaa ameenda kushtuliwa na muudumu saa 11jioni baada ya kuona huyu vipi, mbona hatoki.
Jamaa alivyotoka mbona alitafuta gari chini ya uvungu wa kitanda cha guest.
Ndo dawa yao.
Kazi kuzizeesha nyuchi zetu tu.
mwee nimekumisijeee upo wapi??mi npo hapa kiwanja kipya kilichofunguliwa nicheki kwa simu ndo kwanza tumeingia town hata mizigo hatujapakua
check pm yako katigo kamezimika hapa nina voda umeniereeeewa??Naja na TOYO ya kukodi best nisje endeleza story ilipoishia ya jamaa wa MORO!!
check pm yako katigo kamezimika hapa nina voda umeniereeeewa??
Akhaaa!!!Iache VX ya Huz wangu Ben Saanane ipumue.Wenyewe ndio inatupandisha chati hapa mjini.Kwani talaka yangu haijakufikia Arushaone.Nawe Madame B mfanyid Ben Saanane hivyohivyo.Si umeshapata mauzoefu? Kamata mchuma peleka kwa Arushaone fasta!!Siriaz washamba hawaishi town. CHA MLEVI . . . . .
Akhaaa!!!Iache VX ya Huz wangu Ben Saanane ipumue.Wenyewe ndio inatupandisha chati hapa mjini.Kwani talaka yangu haijakufikia Arushaone.
Akhaaa!!!Iache VX ya Huz wangu Ben Saanane ipumue.Wenyewe ndio inatupandisha chati hapa mjini.Kwani talaka yangu haijakufikia Arushaone.
I hope DHL sijui FEDEX au EMS uliyotumia walikosea address wakaituma ulaya.