wameshatuharibia daraja la garama kabisa, kuweni makini kuendesha hayo magari. halafu maprado ya aina hii sijui yamerogerezewa ajali?l hii miprado ya zamani.
hapo hata kama ni traffick kesi, anatakiwa akipewa adhabu aamriwe na mahakama pia kutoa garama ya kurekebisha sehemu ya uharibifu kwenye daraja alioufanya. hatuwezi kuwa tunajenga daraja kila siku kwa uzembe wa wanywapombe.

Polisi wanatakiwa wawe wanakaa kumbe zote za starehe kuanza piga fine madereva wote walevi mtu akianza endesha gari ametoka Club polisi wampime kiwango cha pombe