Basi wanangu wa kampuni ya ulinzi wanajiona wamekuwa maaskari kabisa kwa kutoa huo msaadaGari (Prado) lenye namba za usajili T 273 CMX limeacha barabara na kisha kubomoa kingo za daraja la Tanzanite Jijini Dar es salaam na kutumbukia chini ya daraja hili (eneo la Bahari) usiku wa kuamkia leo September 03,2023.
@AyoTV_ imefika eneo la tukio na kuongea na Mkaguzi Msaidizi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kizimamoto Ilala, Shani Kiduka ambaye amesema gari hilo lilikuwa na Watu wanaokadiriwa kuwa wanne hadi watano ambao wameokolewa wakiwa wamejeruhiwa na tayari wamepelekwa Hospitali kwa matibabu.
“Tumepata taarifa saa sita na dk 47 usiku, tumefika tumekuta tayari majeruhi wamepelekwa Hospitali, baada ya gari kutoka tunaelekea Hospitali na crew yangu kwenda kuwatambua majeruhi, zoezi la kulitoa gari limekuwa gumu kutokana na hali ya hewa ya Bahari lakini tutajitahidi gari litatoka, ushauri wangu kwa Madereva ni kuwa waangalifu barabarani hasa maeneo ya madaraja na pia wasitumie vilevi wakiwa wanaendesha”
Kwa upande wao Wafanyakazi wa Kampuni ya Ulinzi ambayo imeshiriki kwa kiasi kikubwa kuokoa majeruhi na kupambana kulitoa gari eneo la Bahari wamesema walipopata taarifa tu walifika na kusaidia kuokoa majeruhi na kuwapeleka Hospitali na kwamba kilichosaidia kuwaokoa kirahisi ni kwakuwa maji yalikuwa sio mengi kwa wakati huo….. Ayo TV inaendelea kufuatilia ili kujua hali za majeruhi na taarifa zaidi kuwahusu youtu.be/9Hd7cTyEh-A?si…
Pombe na mataa ya darajani haviendani anabahati amaeanguka kwenye shallow water nyerere bridge tungempa thank youGari (Prado) lenye namba za usajili T 273 CMX limeacha barabara na kisha kubomoa kingo za daraja la Tanzanite Jijini Dar es salaam na kutumbukia chini ya daraja hili (eneo la Bahari) usiku wa kuamkia leo September 03,2023.
@AyoTV_ imefika eneo la tukio na kuongea na Mkaguzi Msaidizi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kizimamoto Ilala, Shani Kiduka ambaye amesema gari hilo lilikuwa na Watu wanaokadiriwa kuwa wanne hadi watano ambao wameokolewa wakiwa wamejeruhiwa na tayari wamepelekwa Hospitali kwa matibabu.
“Tumepata taarifa saa sita na dk 47 usiku, tumefika tumekuta tayari majeruhi wamepelekwa Hospitali, baada ya gari kutoka tunaelekea Hospitali na crew yangu kwenda kuwatambua majeruhi, zoezi la kulitoa gari limekuwa gumu kutokana na hali ya hewa ya Bahari lakini tutajitahidi gari litatoka, ushauri wangu kwa Madereva ni kuwa waangalifu barabarani hasa maeneo ya madaraja na pia wasitumie vilevi wakiwa wanaendesha”
Kwa upande wao Wafanyakazi wa Kampuni ya Ulinzi ambayo imeshiriki kwa kiasi kikubwa kuokoa majeruhi na kupambana kulitoa gari eneo la Bahari wamesema walipopata taarifa tu walifika na kusaidia kuokoa majeruhi na kuwapeleka Hospitali na kwamba kilichosaidia kuwaokoa kirahisi ni kwakuwa maji yalikuwa sio mengi kwa wakati huo….. Ayo TV inaendelea kufuatilia ili kujua hali za majeruhi na taarifa zaidi kuwahusu youtu.be/9Hd7cTyEh-A?si…
Madereva wengi sahv washamba,walevi, wanandeshea sifaDo not drink and drive
Pombe sio sigala cigarettes 🤣Mambo ya tungi za wikiendi
Na Prado siyo gari stable barabaranBila kupepesa macho chanzo cha ajali hiyo ni ulevi tu. Pombe ilimzingua dereva gari ikahama barabara. Wengi wenye vigarigari ni wanywa pombe na wala bata. Weekend huenda kula bata zao kwa kunywa pombe kwa sana na huingia garini kuendesha wakiwa wamelewa pombe
Wacha watu waenjoy lifeKama nawaona abiria na dereva wao....wapo bwax, mziki mkubwa, ac baridi la mochwari speed ya ngiri.
Hakika....ukipata chance ya kuinjoi injoi sanaWacha watu waenjoy life
Spidi ya ngiri mkia juu.Kama nawaona abiria na dereva wao....wapo bwax, mziki mkubwa, ac baridi la mochwari speed ya ngiri.