Hata mimi sihitaji kikombe, pesa ndio ninayohitaji. Kama vipi tuweke zamu naanza mimi leo kuchukua pesa wewe unazuia kikombe kisha zamu itakayokuja mimi kikombe wewe pesa kisha tunakuwa tunaendelea zamu kwa zamu.Duu nimesurrender kama ni kombe chukua wewe ila cash ni yangu
Hata mimi sihitaji kikombe, pesa ndio ninayohitaji. Kama vipi tuweke zamu naanza mimi leo kuchukua pesa wewe unazuia kikombe kisha zamu itakayokuja mimi kikombe wewe pesa kisha tunakuwa tunaendelea zamu kwa zamu.
Unasemaje?
Unaguna nini sasa?Mmh hii ngoja nikaitafutie tafsiri ya kisheria kwanza
Unaguna nini sasa?
Nafikiri nilishawahi kukuambia toka awali mimi naheshimu sana vigezo na masharti kukiuka miiko kwa kweli haitotokea ndio maana nilikuambia hata wewe utakapobanwa na safari za hapa na pale shemeji yangu niachie mimi utamkuta salama wasalmin, na ikiwezekana ongezea hata masharti naahidi sitoweza kukiuka masharti
Hahahaaaaa aah wapi hilo kosa hilo siwezi fanya hata siku moja,
HARUFU nahisi shinikizo la moyo niitie daktari kwanza kabla ya menginemshana jr Kiongozi, kwanini huwa unakosa sana amani linapokuja suala la kumlinda shemeji yangu?
Sasa tusaidiane kimawazo kabla sijaendelea, chagua moja:-
Je mimi nije nyumbani kwako wewe utakapokuwa safarini au wewe umlete shemeji yangu nyumbani kwangu utakapokuwa safarini.
Ipi inafaa hapo kwanza?
Kisha tuendelee na mjadala
Born Gangstar as Gwangambo, never mess with us. Tumezaliwa GESTI, tumekulia Baa, Tunaishi Stendi...... chali wangu ukizingua tutakufuraisha........... kwa sasa tunavuta gundi, fegi hazileti steem.