PPPC kuvuta mitaji ya $9bn

PPPC kuvuta mitaji ya $9bn

Siku Mh. Rais Samia akijua kuwa Kafulila ni mtu wa porojo, mtu wa kucheza na mitandao na kulipa magazeti kutangaza mipango tu ya PPP na hakuna result yoyote tokea amteue, atamfukuza haraka sana.

Kafulila sio mtu wa matokeo chanya, sio mtu wa maendeleo naturally, that is from his origin, yaani kiasili, Kafulila ni wale watu wa data tu na kusifia sifia kwenye mitandao, TV lakini ukimuuliza nipe mradi mmoja tu au uliokamilika kwa PPP tokea ateuliwe utashangaa, kwa muda tokea ateuliwe ingetakiwa aseme kuna miradi labda 5 au 10 na labda 4 imekamilika na iwe miradi mikubwa ya PPP, ila hana.

Kafulila amekuwa mtu wa kuchukua data za IMF mara WB mara other economic platforms zinazo onyesha +ve trend ya uchumi wetu na kuanza kuzitangaza na kusifia, hiyo sio kazi yake kuu, kapotea

Narudia, siku Mh. Rais akijua Kafulila ni mbabaishaji na sio mtu wa matokeo chanya au maendeleo atamtimua haraka sana.

Sawa mkuu
 
View attachment 3152750

Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya umma na Sekta binafsi PPPC kiliendesha mafunzo maalumu kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Jijini Dar es salaam.

Mafunzo hayo ya PPP yalilenga kuwajengea uwezo Wahesimiwa Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano ili kupata picha pana juu ya muundo na majukumu ya PPPC hapa Tanzania.

Mambo mengine muhimu ambayo yalijadiliwa katika semina hiyo ni pamoja na umuhimu wa kutumia PPP katika kutekeleza Mipango mbalimbali ya Serikali na Taifa ya Maendeleo , muundo wa kisheria na Kitaasisi katika utekelezaji wa mipango ya PPP pale PPPC Tanzania.

Mkurugenzi wa PPPC Tanzania Bw. David Kafulila ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa PPPC inatarajia kuvuta mitaji toka sekta binafsi yenye thamani ya US$9 billion au TZS25 trillioni kwaajili ya Utekelezaji wa miradi midogo ya kati na miradi mikubwa kwa manufaa ya Taifa letu.

Kwasasa, Tanzania inatekeleza zaidi ya miradi 84 kupitia PPP kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo miundombinu , Umeme wa maji pamoja na miradi mbalimbali ya maendeleo endelevu ya Taifa letu.

David Kafulila ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa miradi iliyo kwenye mtiririko wa PPP iko katika hatua mbalimbali za kiutekelezaji kama Upembuzi yakinifu, hatua ya kuandaa mikataba, mingine iko katika tathimini, Manunuzi na mingine iko katika hatua ya uandaaji wa maandiko ya miradi.

“Miradi muhimu kama barabara za kulipia toka Kibaha-Chalinze US$340millioni sawa na TZS 888bn pamoja na Ujenzi wa barabara za mzunguko kwa Jiji la Dar es salaam ambazo zitafuta kabisa foleni ina thamani ya US$1 billioni karibu TZS 2.7trilioni,
Miradi hii yote inaendelea vizuri" alisema Mkurugenzi huyo wa PPP Bw David Kafulila.

Faida kuu kwà PPP popote pale duniani ni kuifanya Serikali ya nchi husika iweze kutekeleza miradi yake mbalimbali ya maendeleo kwa faida ya Wananchi wake lakini pasina kutumia Kodi wala tozo toka kwa wananchi wake hivyo kupunguza maumivu ya Kodi na kuisaidia Serikali hiyo iweze kutekeleza miradi mbalimbali ambayo haiwezi kuvuta au kuvutia wabia wa PPP.

===

Huyu Mrundi ni kelele tu na upigaji, hana lolote
 
Sawa
 
Tanzania tunahitaji watu makini sio Rasilimali kwani Rasilimali tunazo, karibu zote,
Mkapa alikuja na sera hii ya ubinafshaji tuliona matokeo yake
Nataka kujua hii PPP inatofauti gani na ile ya Mkapa?
Abood pale Morogoro anamajengo yetu yeye anafugia Mbuzi wakati kile kilikuwa ni kiwanda
Nakubaliana na wewe 100% ila tupunguze uchawa tu wa kishamba
 
Kazi ya Kafulila ni nzuri
 
Tanzania tunahitaji watu makini sio Rasilimali kwani Rasilimali tunazo, karibu zote,
Mkapa alikuja na sera hii ya ubinafshaji tuliona matokeo yake
Nataka kujua hii PPP inatofauti gani na ile ya Mkapa?
Abood pale Morogoro anamajengo yetu yeye anafugia Mbuzi wakati kile kilikuwa ni kiwanda
Umeongea ya kweli tu
 
Kazi kubwa sana hii inayofanyika
 
Back
Top Bottom