ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,114
Wastaafu waliostaafu miaka 20 iliyopita na bado wanadunda wanaomba Rais Magufuli anapofungua jengo jipya la PPF pale Arusha apendekeze kwa SSRA kuwa kima cha chini cha pension iwe inapanda kufuatana na kima cha chini cha mshahara. Kumlipa mstaafu Tzs 50,000 kwa mwezi ni udhalilishaji wakati mashirika ya hifadhi za jamii yanajenga majengo yanayoingiza mapato kutokana na kodi kubwa za pango.