PPF wameita interview


we acha mm nimepigiwa saa 2 bahati nipo dar, pole ndugu yangu
 
Wandugu wapendwa naona hamna ufahamu wa maana ya amplitude test.Ni hivi hiyo ni test ya kuangalia uwezo wako wa kufikiria hivyo ni nje kabisa ya ulichokisoma darasani.Huwa inakuwa na hesabu za hapa na pale ila lengo sio kutest ujuzi wa hesabu ila ni uelewa na kufikiria.Na hakuna madesa maana amplitude questions zipo nyingi sana
 

Kwa uandishi huu ukipata kazi nakupa hela.
 
Wandugu embu nielezeni vizuri nimeitwa pia ila kwa tarehe 18 baada ya kubagain.0763934777. Nipo arusha ningependa nipate update.
 

kweli ww ndo unaufahamu wa amplitude test,wenzio tuna ufahamu na aptitude test hahahaha na hzo hesabu ziczo za darasan n zip?
 
Hi ndugu zangu, mi mgeni hapa dar, nami nimeitwa wameniambia UCC je ni wapi? Ni kule chuo kikuu mlimani au? Asanteni
Itakua huko nami nlishawahi kuifanya Aptitude yao flani hata post nimeisahau ila ni uzushi mtupu mnakuta maswali 50 katika Desk top zao wana UCC uyajibu kwa dakika 15 na kila ukijibu ndio linakuja lingine na lazima uwe fasta sana bila hivyo huwezi kumaliza!!!
 
50 questions in 15 minutes?that mean 0.8 seconds per question.mh this is strange and shocking but any way let me go and do it with confidence,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…