Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
saa n4 na nusuWameniambia ni saa tano na nusu asubuhi, vp wewe wamekuambiaje?
wamepiga simuvp mmepigiwa simu au mmetumiwa email?
soma executorship,bankrupty, directorship,Soma IFRS 13 (ni mpya hii). NA jitahidi kusoma contemporary issues ukipata muda.
KUWa serious zaidi na aptitude test ndio wanatoa
shukran ndugu yetu
saa n4 na nusu
Jamani kwa anae jua aptitude test za PPF zinavyokua au zina base on what, anisaidie kwa kunipa HINTS.
nami nimeitwa ndugu, sijajua maswali gani, ila nakuomba msaada huu ukumbi wa UCC upo sehemu gani? maana mie kwa kweli ni mgeni dar
Mkuu ni eneo gani interview inafanyika,Na ni muda gani inaaanza? maana mm sijasikia vizuri.
Hivi Aptitude test zao zina base sehemu zip?
aliyeitwa yeyote humu ndani aandike namba yake ya simu hapo nimtafute kwa msaada