PPF wameita interview

PPF wameita interview

Jamani kwa anae jua aptitude test za PPF zinavyokua au zina base on what, anisaidie kwa kunipa HINTS.
 
mitoto ya siku hizi in spend a madesa Lila kitu wanataka hints
Mbona hamjiamini au uncompent
 
Hi ndugu zangu, mi mgeni hapa dar, nami nimeitwa wameniambia UCC je ni wapi? Ni kule chuo kikuu mlimani au? Asanteni
 
Nimeitwa kwenye written interview wana JF na hili shirika.

Tafadhalini naombenI namna ya jinsi wanavyotoaga maswali
 
nami nimeitwa ndugu, sijajua maswali gani, ila nakuomba msaada huu ukumbi wa UCC upo sehemu gani? maana mie kwa kweli ni mgeni dar
 
mnisaidie basi location ya huo ukumbi mie natokea Kigamboni, hata sijui direction ya kuelekea, please where is UCC lacated?
 
Back
Top Bottom