Mkataba ukiisha au kufukuzwa kazi ndo wanasema ukae miezi 6 baada ya mkataba au kufukuzwa kazi!
Baada ya miezi sita unapeleka termination or end of contract letter NSSF kwa ajiri ya kuomba pesa zako!
Utaandika barua yakuomba mafao yako! Baada ya hapo unaambiwa utapigiwa simu! Hiyo simu kupigiwa sasa inaweza chukua mwaka! Kwa kifupi hawa watu ni wahuni tu
Utapewa form,unapeleka kwa mwajiri wako aliyekufukuza,kuisha mkataba,akujazie! Baada ya hapo kaa nyumbani hadi wakupigie simu