Ni jambo la kushangaza kuona mfuko wa PPF wanafanya wapendavyo kuamua ni lini mstaafu, aliyeacha kazi kwa hiari au kufukuzwa alipwe haki zake.Haiingii akili mtu ajaze fomu za kulipwa mafao kwa wakati, halafu aje kulipwa baada ya miaka miwili baadae!!Mkurugenzi PPF wewe na watumishi wako wajibikeni tafadhali kutoa haki za watu
Tulipowaambia kuwa PPF pesa imeliwa na wakurugenzi mliona ni utani mkakaa kimya. Sasa ni mmoja mmoja kukiona cha moto kusubiri 2 years. Wakurugenzi wa PPF akiwemo na Mkurugenzi Mkuu wa sasa (2005 to date) walilipwa ndani ya masaa 8 Tshs 220,000,000 kwa kila mkurugenzi na Tshs 540,000,000 Mkurugenzi Mkuu. wewe unayedai milioni mbili utasubiri hadi kifo kikutenganishe na PPF. Tatizo jingine ni serikali kuwaacha wachezee pesa za wanachama. Waziri wa fedha achunguze wanavyopiga misele ulaya na hasa Dubai karibu kila mwezi kwa kutumia pesa za michango.Ni jambo la kushangaza kuona mfuko wa PPF wanafanya wapendavyo kuamua ni lini mstaafu, aliyeacha kazi kwa hiari au kufukuzwa alipwe haki zake.Haiingii akili mtu ajaze fomu za kulipwa mafao kwa wakati, halafu aje kulipwa baada ya miaka miwili baadae!!Mkurugenzi PPF wewe na watumishi wako wajibikeni tafadhali kutoa haki za watu
Ni jambo la kushangaza kuona mfuko wa PPF wanafanya wapendavyo kuamua ni lini mstaafu, aliyeacha kazi kwa hiari au kufukuzwa alipwe haki zake.Haiingii akili mtu ajaze fomu za kulipwa mafao kwa wakati, halafu aje kulipwa baada ya miaka miwili baadae!!Mkurugenzi PPF wewe na watumishi wako wajibikeni tafadhali kutoa haki za watu
hivi NSSF FAO la kujitoa linakuwaje? na kama mtu kaacha kazi inachukua Mda gani kulipwa FAO lake?