Hata me wamenitumia sijajua watu wapo kiasi gani?
Tangazo lao walitaka wangap?
Nimepata text na email kuhusu interview PPF jmosi liason operation officer kuna mtu kaitwa?
Walitaka watu 6 Liaison Operation Trainee for Office.Tangazo lao walitaka wangap?
Hata mi nimeitwa liason operation trainee. Nadhani sitakwenda, nipo mikoani. Muda mrefu umepita, tulishasahau, yaani tangia mwezi April ndo nafasi zilitoka
Wanahitajika watu 6.
Walioitwa ni 307
Una uhakika acha kupotosha umma
Mkuu na wewe upo nini dah me nshawachoka najifikiria hvHawa jamaa wanachosha aisee.
Mkuu na wewe upo nini dah me nshawachoka najifikiria hv
kulitokea nini mkuu...tafadhali tufungue macho wengine ili tusijisumbueHata mm nimeitwa na niko dar bt sitokwenda, nimeshafanya interview zao mpaka, na nilifika mpaka hatua ya oral bt kilichotoke sitosahau, niwatakie interview njema mtakaoenda
Mimi sipo ila nina jamaa zangu wapo,wamesema hawataenda.
Walinitumia J3 sms zao hawajamaa wazushi sana hii post wanayoita watu haina tofauti yeyote na ile ya operation trainee ambayo chakushangaza kwanini wasichukue watu walio fika hatua ya oral wanaita watu tena PPF mnaboa kwakweli au tumieni data base ni shirika kubwa