Bhangi kilevi kibaya sana
Bhangi kilevi kibaya sana
Kwa nguvu ya mmea lakiniMkuu hiyo sio bangi jamaa yuko kazini.
Huo mti ni Kama buwa.Hata Kama anavuta bangi mti wenyewe asingeweza Hata kuusukuma wacha kuubeba
Sijui amevuta ya wapi huyo: yawezekana ikawa ya Arusha, Tarime, Bariadi au Njombe
Tena mbichiBangi za chooni hizi