Pozi la ukweli

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,999
Reaction score
2,582
Hakika wamependeza sana.
 
Attachments

  • 1415968846601.jpg
    53 KB · Views: 2,823
Ndo maana mi kila siku nawaambia kuwa marafiki wa facebook wote fake, mtu anakuomba urafiki vizuri tu, ukimu-add tu anajifanya ku-like post zako mbili kesho unaikuta picha yako na demu wako iko JF. Sio vizuri hivyo wandugu.
 
Una uhakika na unenayo mkuu juu ya picha hii kiongozi kwani hawa jamaa wana account face ndugu yangu...?.
 
Huyu jamaa mbona kafanana nahhhh kiongozi wa kikundi fulani cha taarabu? Kama ni yeye alikuwwa HB kweli alivyokuwa na umri huo.
 
Mdogo wangu nae kwa mapozi!!!Hapana chezea bwana shemeji
 
Huyu jamaa mbona kafanana nahhhh kiongozi wa kikundi fulani cha taarabu? Kama ni yeye alikuwwa HB kweli alivyokuwa na umri huo.
Mkuu naiman64, mimi nlishajua ni mwenyewe Daktari wa Mapenzi. Mzee Yusuf? Au sio yeye mzee wa ndoa kila kuchapo?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…