Pozi la picha

woooow
unapajua kule mlimani karibu na shule ya msingi kuna visima vya maji alafu kuna maziwa sana
i misss the place
and barabara imemalizwa kitambo sana sijaenda kule
am dyn mis that plc

Kwenye visima vya maji tulikuwa tunapaita dimbwi, kipindi cha kiangazi shida ya maji tulikuwa tunashinda huko tunatafuta maji kwenye hivyo visima, pindi maji yalikuwa yanaleta shida tunapanda juu ya mlima kuzibua yapite vizuri, barabara ya kwenda namanga ipo poa sana kama ulaya hasa ukipita wakati wa usiku
 

kuenda longido tayari ni utalii
lile bonde la ufa
kuna watu humu hawajui kama limepita kule na ile udongo ya kama kaki iliyoko donyo sambu.kuna vilima vyeupe vile sijii ni chumvi ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…