Powerful laptop for sell

Powerful laptop for sell

Cybergates

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
718
Reaction score
1,537
Laptop yangu ipo sokoni
-Dell Inspiron core i3 6th gen
-15.6 inch
-4GB Ram
-500GB Hdd
-window 10
Inakuja na software-
-adobe acrobat reader
-adobe photoshop
-android studio
-Mysql workbench
-IDM
-Notepad++
Pia inakuja na Tutorial "PDF"
-Learn HTML, JAVASCRIPT,CSS & JAVA PL
-How to make website by HTML & Css
-how to create database by Mysql
-how to connect Mysql database to Html file
Price: Tsh 970,000/=
-Pia unaweza kutumia hii laptop kama server kwa ajili ya website au app yako
-Ipo kwenye hali nzuri sana
Nauza kwa sababu nataka kununua Laptop ya Core i7
kwa mnunuzi njo Pm'
 
Bei: 970,000 najaribu kuweka picha zinakataa
 
Core i3 nayo ni powerful sikujua, pili bei kubwa sana haina uhalisia, inaonekana nawewe ulipigwa bei kubwa, kwa hiyo bei uliyoweka napata core i7 nzuri kabisa, na kama nitaongeza kama 300k basi hapo unaongelea ultrabooks matata tena i7,
Lengo si kuharibu biashara ila bei kidogo imenishtua, samahani sana kama hii post italeta usumbufu machoni mwako.
 
Core i3 nayo ni powerfull sikujua, pili bei kubwa sana haina uhalisia, inaonekana nawewe ulipigwa bei kubwa, kwa hiyo bei uliyoweka napata core i7 nzuri kabisa, na kama nitaongeza kama 300k basi hapo unaongelea ultrabooks matata tena i7,
Lengo si kuharibu biashara ila bei kidogo imenishtua, samahani sana kama hii post italeta usumbufu machoni mwako.
"...pili bei kubwa sana haina uhalisia,.." DELL core i3 6th gen laki 9 tena dell inspiron, haina uhalisia?? Mkuu unajua computer kweli??, hii sio latitude. Pia Hii sio kwa kuangalia movie au kudownload series online hizi ni kwa ajili ya 'SOFTWARE PROGRAMMING'
"....inaonekana nawewe ulipigwa bei kubwa..." nadhani kwa hili embu google price angalia amazon au online inauzwa sh ngapi
"...kwa hiyo bei uliyoweka napata core i7 nzuri kabisa, na kama nitaongeza kama 300k basi hapo..." i7 1.2ml?? Kampuni gani iyo?? Sijasikianga Laptop i7 1.2ml ndo naona hapa, Embu niambie zinauzwa wapi na mm nikatafute huko
"...samahani sana kama hii post italeta usumbufu machoni mwako..." wala usijali mkuu kuwa na amani hamna tabu.
 
Back
Top Bottom