Alpha Blondy
JF-Expert Member
- Oct 6, 2018
- 308
- 447
Go for xiaomiWakuu niwape salamu wote,
Naomba kuuliza powerbank ipi ni nzuri, nahitaji msaada wenu,
Nataka ninunue ila sijajua brand gani inafaa zaidi,
Bajeti yangu ni 30,000
Asante mkuuGo for xiaomi
Sawa sawa mkuu
Asante mkuu nitafanya ivoXiaomi
Mi Global StoreNa bei ya xiomi imekaaje wakuu
Asante mkuu
Asante mkuu nitamchekiYupo jamaa mmoja anajiita high life tanzania anapatikana facebook anauza power bank za xiaomi orgn kabisa . bei yake 10000mAh Anauza kwa 50K na 5000mAh anauza kwa 35K muone anasafirisha mpk mikoani .kama hiyo hapo down View attachment 926924