Powerbank inawasha TV ,fridge, pasi.laptops etc

Powerbank inawasha TV ,fridge, pasi.laptops etc

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,877
Haya wale wazee WA porini mtambo huu hapa
Bei 240,000

IMG-20250826-WA0001.jpg

 

Attachments

  • VID-20250825-WA0000.mp4
    6.3 MB
Kwa upande Wa tv au fridge vinawaka Kwa muda gani?
 
Hapo Mchina atakupa miezi 6 tu. Baada ya hapo utalazimika kununua tena mtambo mwingine.
 
Hiyo tv hapo inawaka kwa muda gani..
Lakini pia hiyo unaweza kuichaji kwa kutumia solar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom