Power supply, na batteries za simu, camera, laptops, comcorder, projectors za aina zote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Power supply, na batteries za simu, camera, laptops, comcorder, projectors za aina zote

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by pacificamarine, Oct 19, 2011.

 1. p

  pacificamarine Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je una matatizo ya kupata Batteries au Power Supply za aina yoyote katika laptop, camera, simu, comcorder, projector yako? Au una tatizo la battery au power supply kumaliza nguvu haraka kila unapoi-charge? kama tatizo ni hilo basi unahitaji kuibadilisha ili upate battery iliyo madhubuti itakayokwenda na matumizi yako.
  Sisi PACIFICA MARINE tutakutafutia battery unayohitaji katika masoko makubwa duniani na kisha kukuletea mpaka Dar es Salaam. Mpaka kifaa chako kinafika Dar, utakuwa hujalipia hata senti, na utalipia tu siku utakapokwenda kukichukua.
  Tuandikie kwenye : pacificamarine@yahoo.com na utueleze shida yako nasi tutahakikisha unapata kifaa chako mapema. Wengi wametujaribu na wameona kuwa biashara yetu ni ya uhakika.
   
Loading...