Power black out in Arusha


Wajua Wana JF,

Tatizo kubwa hapa sijui hawa Tanesco wanajua kazi yao kweli au ndio tayari si ha sa imeingia huko, Sijui inaingia akilini kweli kukata umeme every day hawa Tanesco wanaingiza faida kanai au walisha pata faidi sasa ni time ya kuwanyanyasa Wananchi? Strategic Plan zao ziko wapi, Mbaya zaidi hawa ku fnaya PA kuhusu swala la umeme na hata kama wangefanya PA still % fulani wangepisha maelezo na serikali kuhusu Mgao maana ni mgao wa kimya kimya huku nyuma tulfanyiwa PA( Publica Announcement) kuwa ni mgao wa One Month sasa duuuuh imekuwa ni zaidi nahi tatizo kwa mji wa Arusha hata nilipo kuwa huko lilikuwepo sishangai huo mji wameufanya wa Kijanja janja hivi na umekumbatiwa na wakubwa na pale watu wa kipato cha chini ndio kabisaaa watabaki kunyanyasika tuu gap iko kubwa sana kwa wenye nazo na wasio nazo mji hauko kwa City Planining kabisa sinawashangaa kila kukicha wanatashindwa kuupa JIJI kani uko shaghala baghala mfumo wa ujenzi wa makazi ni mbovu kupita maelezo kukuza kwa mji ni mwendo wa kinyonga watu waote wanataka kukaa hapo mjini huduma za maji kwenda huko njie ya mji kama Kisongo, Ngaramtoni Njiro Chini hazifanyiki na mbaya zaidi Usalama wa Raia ndio mbovu kabisaa wizii wa kuvunja mijumba ya raina na uvamizi wa kutumia silaha ndio umekidhiri sasa kweli mji utakuwa na maendeleo kweli? na umeme ndio huo tena.

Mr. Mhando nadhani mwatakiwa kuachana na si hasa mfanye kazi kuna madhambi mengi isikute mwayaficha na mwawafiv=chia hao wakubwa huku mwawanyanyasa wananchi walipa kodi kuto pata haki zao.

Tanesco Strategy Planning yenu tokea uhuru ina phases 2 kuanzia 1960' upto now its 50 years ambayo iko 25/25years sasa sijui ipi plan mwaitekeleza mkisema tena kuna plan ya 25years huko mbele inamaana huku nyuma hamkufanya kitu. Which means wakati wa mwl.JK nyerere uongozi wake ulikuwa bora zaidi katika zama izo ambayo Technology ilikuwa haijazagaaa kama kipindi hiki ambacho Technologia ipo nasi ila utawala wenu ni uozo mtu yani ni upuuuzi mtu na pamoja na elimu yenu hamjui mfanyalo mpaka sasa na ukweli ni kwamba even iyo 25yrs plan ni fake which means nothing will be done.

Mbaya zaidi Communication btn Customer service wenu na Technician ni zero kabisa unamuliza mtu wa tanesco kwa simu jamani umeme unarudi muda gani yeye anakupa mlolongo wa maelezo mengi na yote ni uongo mtupu ati kuna nguzo imekatia Hapo Korogwe ndio maana umeme hapa arusha hakuna wakati Moshi hakuna tatizo ivi ni ujinga gani huu alafu anakuambia umeme sidhani kama utarudi mapema kwani mafundi bado wanashugulikia within 5min mara umeme huo umerudi sasa huyu mtu wa customer support kanijibu nini? na hii hali iko mikoani kote sio uongo
 
Mrema (ccm) alipokuwa mbunge wa jimbo la arusha mgao tuliusikia redioni tumemchagua Lema wa (cdm) mgao ni kila siku.

mkuu naungana na wewe, kweli wakati ccm ikishika huu mkoa umeme haukuwa shida hivi...sijawahi kuona hii...ni balaa, jana hatukuwa na umeme, leo tena hatuna.....sijui tutaishije kwa kweli

mliopo Moshi mjini kwa mzee Ndesa hebu tuambieni mambo huko yakoje??
 

Na kwa Arusha navyo ijua swala la kuandamana kwao ni la kawaida kabisaaaaaa msije shangaaa watu mara Aljazera Hapa live nini wananchi wamechosha na udhalimu wa TANESCO na hapo ndipo na si ha sa itapata nafasi. serikali yetu kwa 75% is Problems creator na 25% Problems Firefighter

Hapa viongozi wetu wanajaribu kutengeneza Time boom na ngoja siku zasogea kweli wananchi watafika mahali watachoka
 

Jamani Acheni Ubaguzi wa Kisiasa,

Inamaaa Dar kwa kina halima Mdee nako ndilo hilo swala??? Msijipendekeze kwa CCM acheni unafki jamani Tatizo liko wazi kuwa serikali yetu hajatutatulia tatizo la mgao wa umeme toke mwalimu Nyerere alipo tuachia nchi ndio tumeivuruga mbaya. sasa kutaka kusema ubaguzi wa kisiasa ndio kukosekana kwa umeme wakati viongozi wetu wanaingia kwa mikataba mibovu na kushindwa kuwa creative kwa miladi ya umeme, mtakaa kuingiza siasa za CCM na CDM, jamani hii ni akili kweli unajua mtu ukiwa na umaskini wa mawazo ni tatizo kubwa mno ndio haya sasa serikali imeshindwa kutupa mikakati ya tatizo ta Umeme baadhi yetu twawazi CCM na CDM ndio chanzo ujinga mtupu sijawai ona kweli

Mbona moshi hapo kwa ndesa watu wakifika huwezi tupa taka ovyo na sheria zinafwatwa pale mgeni yoyote atokae mikoani akifika Moshi mwatangaziwa ni kama mwaja kwa mabasi usitupe uchafu nje wala kukojo hovyo.

Hebu tujadili kwa kina kutizama vyanzo vya matatizo yetu na jinsi ya kuyakabili haya matatizo na kuishauli serikali
 
Mbona njiro nako hamna umeme toka jana. Au ni njiro ipi unasemea?

Ni kwa jana tu ila nina uhakika Njriro hawapati regular mgao kama maeneo niliyoyataja ambayo mgao ulianza rasmi November 2010 hadi leo. Mbaya zaidi hitilafu ikitokea inachanganya na maeneo ambayo yana pata mgao na kufanya makali kuongezeka mara mbili
 

Hata hapo kwenye RED umewapendelea mkuu kwani kwa sasa nafikiri inashuka na inakaribia 10%
 
Toka juzi saa 12:00 jioni Umeme ulikatika ukarudi jana asubuhi na jana 12:00 jioni ukarudi Leo asubuhi hasa maeneo ya kijenge njiro kimandolu.
Walisema mgao umeisha naona sasa ndo imekuwa mbaya zaidi lo! Nchi hii sijui hatma yake ni mini?

Itakuwa watu wameenda kazini bila kupasi hata nguo aiseee hii ni kisasi ama nini?
 
Ni kwa jana tu ila nina uhakika Njriro hawapati regular mgao kama maeneo niliyoyataja ambayo mgao ulianza rasmi November 2010 hadi leo. Mbaya zaidi hitilafu ikitokea inachanganya na maeneo ambayo yana pata mgao na kufanya makali kuongezeka mara mbili

Mbona dar hakuna mgawo kabisa? au kwa kuwa chadema imejikita zaidi Arusha ndiyo wanafanya hv?? basi wajue wnajipalia makaa maana 2015 wanaweza wakose hata 0.5 kura, watu watajinunulia solar power na majenereta
 
Mbona AICC Hospital wana standby generator? Au magamba Elishilia kaaya (Md) alikataza lisiwashwe nini?
 
Itakuwa watu wameenda kazini bila kupasi hata nguo aiseee hii ni kisasi ama nini?
Hapa ndo tunarudi kwenye basics....mtu unatoa pasi yako ya mkaa na maisha yana songa...:bange:
Ila itakua imeja kutu.....lol
 
Hii sasa jamani imeshakuwa tabu... yaani kuanzia j'pili, j'tatu na leo tena wameuchukua saa 11 alfajiri... kama sio kukomoana ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…