Mkuu yako mageto ambayo mwaweza share na jamaa wengine, mfano mwaweza kuwa watatu au wawili mkalipa rial 300 kwa mwezi, ukitaka appartment ndo bei kidogo hadi usd 100 kwa mwezi na una enjoy furesh ..vip mzee nataka kuja karibu sana life is good here and no one care