President of China JF-Expert Member Joined Dec 6, 2018 Posts 31,681 Reaction score 89,691 Apr 1, 2021 #1 Guys kumbe nchi iliyoendelea nayo ipo na maskini. Nashindwa kuelewa.
0 00001 Senior Member Joined Jul 28, 2020 Posts 183 Reaction score 976 Apr 1, 2021 #2 Hakuna nchi isiyokuwa na maskini na haitawahi tokea.
Peter Madukwa JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 3,140 Reaction score 2,499 Apr 1, 2021 #3 Brunei 00001 said: Hakuna nchi isiyokuwa na maskini na haitawahi tok 00001 said: Hakuna nchi isiyokuwa na maskini na haitawahi tokea. Click to expand... Click to expand...
Brunei 00001 said: Hakuna nchi isiyokuwa na maskini na haitawahi tok 00001 said: Hakuna nchi isiyokuwa na maskini na haitawahi tokea. Click to expand... Click to expand...
Masamila JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 6,505 Reaction score 7,465 Apr 2, 2021 #4 Ni kazi ngumu sana kuondoa masikini wote katika nchi maaana binadamu wenyewe tabia mbovu hatuachi mfano ulevi
Ni kazi ngumu sana kuondoa masikini wote katika nchi maaana binadamu wenyewe tabia mbovu hatuachi mfano ulevi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,196 Reaction score 184,913 Apr 2, 2021 #5 Wasiojiweza kiuchumi wapo dunia nzima...
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,735 Reaction score 27,099 Apr 2, 2021 #6 00001 said: Hakuna nchi isiyokuwa na maskini na haitawahi tokea. Click to expand... Libya ya gadafi nafikiri ilitokea
00001 said: Hakuna nchi isiyokuwa na maskini na haitawahi tokea. Click to expand... Libya ya gadafi nafikiri ilitokea
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 85,763 Reaction score 145,548 Apr 2, 2021 #7 Marekani tabu sana. Matajiri wembamba, masikini wanene!
kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,351 Reaction score 12,686 Apr 2, 2021 #8 hyperkid said: Libya ya gadafi nafikiri ilitokea Click to expand... Walikuwepo bado
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,735 Reaction score 27,099 Apr 2, 2021 #9 kiboboso said: Walikuwepo bado Click to expand... Walishindwa hata kutafutana masikini wawili na kufungandoa wapewe nyumba yabure
kiboboso said: Walikuwepo bado Click to expand... Walishindwa hata kutafutana masikini wawili na kufungandoa wapewe nyumba yabure
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,163 Reaction score 11,823 Apr 2, 2021 #10 00001 said: Hakuna nchi isiyokuwa na maskini na haitawahi tokea. Click to expand... Sio kweli mkuu, Qatar, UAE, Brunei hakuna maskini
00001 said: Hakuna nchi isiyokuwa na maskini na haitawahi tokea. Click to expand... Sio kweli mkuu, Qatar, UAE, Brunei hakuna maskini
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,312 Reaction score 109,388 Apr 2, 2021 #11 Kiranga said: Marekani tabu sana. Matajiri wembamba, masikini wanene! Click to expand... Ha ha ha..... Inaonekana maskini wanakula na kushiba sana kuliko matajiri
Kiranga said: Marekani tabu sana. Matajiri wembamba, masikini wanene! Click to expand... Ha ha ha..... Inaonekana maskini wanakula na kushiba sana kuliko matajiri
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 85,763 Reaction score 145,548 Apr 2, 2021 #12 DeepPond said: Ha ha ha..... Inaonekana maskini wanakula na kushiba sana kuliko matajiri Click to expand... Ma vyakula cheap ma burgers yananenepesha sana, matajiri wanakula mavitu organic halafu kwa vipimo. Ukimuangalia Tim Cook, Bill Gates au Mark Zuckerberg kwa sie tuliozoea tajiri mtu mnene kama Peter Msechu, unaweza kufikiri hawa vidampa tu. Kumbe ndio mabilionea wenyewe hao.
DeepPond said: Ha ha ha..... Inaonekana maskini wanakula na kushiba sana kuliko matajiri Click to expand... Ma vyakula cheap ma burgers yananenepesha sana, matajiri wanakula mavitu organic halafu kwa vipimo. Ukimuangalia Tim Cook, Bill Gates au Mark Zuckerberg kwa sie tuliozoea tajiri mtu mnene kama Peter Msechu, unaweza kufikiri hawa vidampa tu. Kumbe ndio mabilionea wenyewe hao.
GAGL JF-Expert Member Joined Aug 5, 2010 Posts 392 Reaction score 400 Apr 2, 2021 #13 00001 said: Hakuna nchi isiyokuwa na maskini na haitawahi tokea. Click to expand... Ushelisheli hakuna maskini.
00001 said: Hakuna nchi isiyokuwa na maskini na haitawahi tokea. Click to expand... Ushelisheli hakuna maskini.
zinginary JF-Expert Member Joined Dec 18, 2015 Posts 2,486 Reaction score 1,712 Apr 2, 2021 #14 Kiranga said: Marekani tabu sana. Matajiri wembamba, masikini wanene! Click to expand... Ahahaha hapa nimekupata Huku kwetu tofaut kabisa
Kiranga said: Marekani tabu sana. Matajiri wembamba, masikini wanene! Click to expand... Ahahaha hapa nimekupata Huku kwetu tofaut kabisa
kitali JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 6,260 Reaction score 9,573 Apr 2, 2021 #15 Peter Madukwa said: Brunei Click to expand... umefika mzee au unasikia
Papi Chulo JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 6,260 Reaction score 7,397 Apr 3, 2021 #16 dos.2020 said: Sio kweli mkuu, Qatar, UAE, Brunei hakuna maskini Click to expand... Qatar kuna umasikini wa kutisha,ni vile wenzetu hawapendi kuonyesha sehemu mbaya,wao watakuonyesha maghorofa tu
dos.2020 said: Sio kweli mkuu, Qatar, UAE, Brunei hakuna maskini Click to expand... Qatar kuna umasikini wa kutisha,ni vile wenzetu hawapendi kuonyesha sehemu mbaya,wao watakuonyesha maghorofa tu
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Apr 3, 2021 #17 Kiranga said: Marekani tabu sana. Matajiri wembamba, masikini wanene! Click to expand... Wewe ni masikini au tajiri?
Kiranga said: Marekani tabu sana. Matajiri wembamba, masikini wanene! Click to expand... Wewe ni masikini au tajiri?
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Apr 3, 2021 #18 dos.2020 said: Sio kweli mkuu, Qatar, UAE, Brunei hakuna maskini Click to expand... Ni kweli mkuu nipo qatar hapa hawa jamaa wana pesa aise? Halafu don care kinoma, hawajali wewe ni mzungu mwafrika mchina ..yani wao wako na mambo zao tu.
dos.2020 said: Sio kweli mkuu, Qatar, UAE, Brunei hakuna maskini Click to expand... Ni kweli mkuu nipo qatar hapa hawa jamaa wana pesa aise? Halafu don care kinoma, hawajali wewe ni mzungu mwafrika mchina ..yani wao wako na mambo zao tu.
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Apr 3, 2021 #19 Papi Chulo said: Qatar kuna umasikini wa kutisha,ni vile wenzetu hawapendi kuonyesha sehemu mbaya,wao watakuonyesha maghorofa tu Click to expand... Mkuu hakuna huo umasikini unaosemea wewe ..Qatar sijaona aide omba omba na life liko poa tu ..sema Jua ndo usipime dah
Papi Chulo said: Qatar kuna umasikini wa kutisha,ni vile wenzetu hawapendi kuonyesha sehemu mbaya,wao watakuonyesha maghorofa tu Click to expand... Mkuu hakuna huo umasikini unaosemea wewe ..Qatar sijaona aide omba omba na life liko poa tu ..sema Jua ndo usipime dah
ujoka JF-Expert Member Joined Nov 27, 2014 Posts 5,011 Reaction score 11,806 Apr 3, 2021 #20 Homeless wa marekani wanaishi kwenye magari yao